Haya ndugu zangu hawa ni wadudu gani tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndugu zangu hawa ni wadudu gani tena?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 22, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  [​IMG]

  Wadudu gani tena hawa BAK.... Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh Mbona kama vinapatikana kwenye ile miti ulaya? au sijui wanaiitaje nadhani ni mi Cyprus....
   
 3. P

  Percival JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Sawa hiyo ni mbegu za pine Hizo , ukivunja kuna mbegu watu wanatafuna
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Ni mbegu ya miti aina ya PINE ama mti KIBERITI bila shaka!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Huyu Ndg yupo kwenye maandalizi nyingine ya mbegu BORA YA MTI PINE!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  huu Mti pine upo karibu na maeneo ya Baharini ufukweni? Mivinje bahri ndio huo mti? LiverpoolFC
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Hapana Kamanda! Huu mti Mi naonaga ndani ya forest tu! Hasa ndani ya Hifadhi ya mlima Meru iko kwa wingi kweli!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Je matunda yake yanaliwa?sisi wengine tunakaa mijini mambo ya miti hatuijuwi LiverpoolFC
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  miti hiyo inatumika kama mapambo, iko mijini pia barabarani utaiona uncle
   
 11. N

  Nonda JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Matunda yake/mbegu zake zinaliwa.
  Ukifata link hii Pinus koraiensis - Wikipedia, the free encyclopedia utaona tunda/mbegu imefanana na njugu(pine nuts).
  Wakorea wanatumia unga wa njugu hizi na unga wa mchele kupikia uji.
   
Loading...