Haya ndo maneno yangu ya mwisho kwake siku ya kesho namaliza mchezo kabisa

Utapoteza muda bure Mkuu,

Kwakua ni rafiki yako Mbinu rahisi ni hii

Muite nyumbani kwako ,Kama huwa unapika muandalie vitu vya kupika ,akija tumia mbinu yoyote mpike wote na akikataa pika we mwenyewe Ila hakikisha anangalia unavyopika

Wakati wakupika, anza kumuulizia kuhusu wazaz wake, na muulize Kama anafaham lolote juu ya utaratibu wa kujitambulisha huko kwao, muulize Kama kuna ndugu yake aliwah tolewa posa ,kadri atakavyokua anajibu ndivyo utakavyokua unachomekea kuhusu lengo la kutaka kwenda kwao, na hakikisha unapozungumzia hili uso unakua serious kidogo

Baada ya hapo Kama anakupenda utaona maswali yake na majibu yake

Wanawake wote wanapenda kupendwa na kuheshimiwa wao had nyumban kwao, pia wanataka mtu serious .

Kumpeleka bar kwajili ya proposal mtu ambae unamalengo ya kumuo sio vizur Sana Kama unakwako ,bar hakuna uhalisia
 
Baada ya kusema hayo.. Dada M anakuangalia kwa macho ya hasira.. Bila ya kutegemea unastukia kofi moja takatifu la shavu la kushoto..! Wakati huo huo dada M macho yake yanaanza kuwa mekundu na anaanza kulia..!

Anasema " sikutegemea kama Richardson unaweza kunitamkia maneno ya kijinga kama hayo!" Anaendelea kusema "Kipindi chote hiki nmekuwa nikikuchukulia kama ndugu yangu wa damu, kumbe wewe ni nyoka!"

Ghafla anasimama, analia kilio chenye kwikwi! Nawe Richardson unasimama..! Dada M anataka kuondoka unamshika mkono.. "Nimesema niache!" anakwambia, unajikakamua mwanaume unasema "usiniumize moyo wangu M jua mpaka nasema haya nmefikilia sana na wala sijakurupuka"

Itaendelea...

Si unapenda drama..?! Seeenzi..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah aisee we jamaa nomaa lakn hili Jaribio la leo halitomuacha M salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapoteza muda bure Mkuu,

Kwakua ni rafiki yako Mbinu rahisi ni hii

Muite nyumbani kwako ,Kama huwa unapika muandalie vitu vya kupika ,akija tumia mbinu yoyote mpike wote na akikataa pika we mwenyewe Ila hakikisha anangalia unavyopika

Wakati wakupika, anza kumuulizia kuhusu wazaz wake, na muulize Kama anafaham lolote juu ya utaratibu wa kujitambulisha huko kwao, muulize Kama kuna ndugu yake aliwah tolewa posa ,kadri atakavyokua anajibu ndivyo utakavyokua unachomekea kuhusu lengo la kutaka kwenda kwao, na hakikisha unapozungumzia hili uso unakua serious kidogo

Baada ya hapo Kama anakupenda utaona maswali yake na majibu yake

Wanawake wote wanapenda kupendwa na kuheshimiwa wao had nyumban kwao, pia wanataka mtu serious .

Kumpeleka bar kwajili ya proposal mtu ambae unamalengo ya kumuo sio vizur Sana Kama unakwako ,bar hakuna uhalisia
Pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa nae sehemu tulivu ntaanza kumwambia maneno haya:

"Kipindi tulipokuwa pamoja tulikuwa kama marafiki tulishirikiana katika mambo mbalimbali, inawezekana kuna sehemu nlikukwaza kwa namna moja au nyingine lakini nataka ujue kwamba siku zote nlikupenda kwa dhati japo pamoja na kuonesha upendo wangu ktk urafiki wetu lakini kwangu upendo huu ulikuwa ni zaidi ya urafiki"
Ntahema kwanza ndani kwa ndani then,

"Jua ya kwamba upendo wangu ni zaidi ya sisi kuwa marafiki, natumaini ya kwamba sasa ndo muda sahihi wa mimi kukwambia kuliko muda wowote ule, naomba unikubalie niwe wako siku zote ikiwezekana mpaka tuwe mume na mke" .....

nakupenda sana "M" zaidi ya unavyofikiria natumaini wewe ndo Nuru na taa yangu siku zote za maisha yangu.

Maoni yako kama naweza kurekebisha mstari wowote au niongezee nini wadau??

Sent using Jamii Forums mobile app
Dedication to my love Me too kabla sijabadili ID naomba usome,uelewe&uzingatie shairi hili
 
tumia freestyle ya maswali na majibu demu atakuelewa mkuu. ukitumia mashairi, misemo, methali na maneno ya kukariri kama hayo ambayo yanatumiwa mara kwa mara ktk mapenzi demu ataona unamuigizia maana kaishaambiwa sana na watu ambao pengine mwisho wa siku walimuumiza.
 
Daah aisee we jamaa nomaa lakn hili Jaribio la leo halitomuacha M salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usijitie sharukh khan bana.. Wakati we mbongo!
Madem wakibongo huwa hawaitaji mbwembwe..!
Just muite geto.. Tafuta video ya matusi( ) muekee..! (fanya kama umekosea) akiangalia just look at her breating rate..! Kama inapanda.. Jua dawa inaingia vzur..
Then anza kumpapasa taratibu (haap inahitaj ubandidu wa hali ya juu maana huwa wanavimaswali vyao vya ajabu ajabu utaskia "we rich sasa ndo unafanya nn?")
Wakati unaendelea kutachi taratibu usikimbilie kwenye papuchi haraka haraka (take ur time)
Shuka mpaka kwenye maziwa.. Ukiona anakuachia hapo pia ndo ufanye kama unashuka kwenye kitovu... Chezea tumbo for about five minutes.. Then elekea kwenye kiota..!
Nadhani ukifata ushaur huu vzur mambo yatakuwa poa..

Onyo, litakalo kupata itakuwa juu yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimependa hapo uliposema utahema ndan kwa ndan.....! any way mapenz hayana formula kiongoz.....inatgemea huyo unaemuaproch amekaa vp na mazoea yenu yana mipaka gani ! pia jitahidi kuwa mmbunifu, kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom