Haya ndo maneno yangu ya mwisho kwake siku ya kesho namaliza mchezo kabisa

Mimi hizo mambo nilizitumia nikiwa shule ila now sipotezi muda na ngonjela kabsa..

Send from Nokia batani
 
Nikiwa nae sehemu tulivu ntaanza kumwambia maneno haya:

"Kipindi tulipokuwa pamoja tulikuwa kama marafiki tulishirikiana katika mambo mbalimbali, inawezekana kuna sehemu nlikukwaza kwa namna moja au nyingine lakini nataka ujue kwamba siku zote nlikupenda kwa dhati japo pamoja na kuonesha upendo wangu ktk urafiki wetu lakini kwangu upendo huu ulikuwa ni zaidi ya urafiki"
Ntahema kwanza ndani kwa ndani then,

"Jua ya kwamba upendo wangu ni zaidi ya sisi kuwa marafiki, natumaini ya kwamba sasa ndo muda sahihi wa mimi kukwambia kuliko muda wowote ule, naomba unikubalie niwe wako siku zote ikiwezekana mpaka tuwe mume na mke" .....

nakupenda sana "M" zaidi ya unavyofikiria natumaini wewe ndo Nuru na taa yangu siku zote za maisha yangu.

Maoni yako kama naweza kurekebisha mstari wowote au niongezee nini wadau??

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo maneno hayapangwi wewe nenda tu utapata cha kuongea mkikutana
All the best
 
Just be yourself and got for it. You don't need to remember all those lines. Lete feedback ukimaliza mtongozo.

Nikiwa nae sehemu tulivu ntaanza kumwambia maneno haya:

"Kipindi tulipokuwa pamoja tulikuwa kama marafiki tulishirikiana katika mambo mbalimbali, inawezekana kuna sehemu nlikukwaza kwa namna moja au nyingine lakini nataka ujue kwamba siku zote nlikupenda kwa dhati japo pamoja na kuonesha upendo wangu ktk urafiki wetu lakini kwangu upendo huu ulikuwa ni zaidi ya urafiki"
Ntahema kwanza ndani kwa ndani then,

"Jua ya kwamba upendo wangu ni zaidi ya sisi kuwa marafiki, natumaini ya kwamba sasa ndo muda sahihi wa mimi kukwambia kuliko muda wowote ule, naomba unikubalie niwe wako siku zote ikiwezekana mpaka tuwe mume na mke" .....

nakupenda sana "M" zaidi ya unavyofikiria natumaini wewe ndo Nuru na taa yangu siku zote za maisha yangu.

Maoni yako kama naweza kurekebisha mstari wowote au niongezee nini wadau??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni lazima akupotezee, usifanye kosa la kumwambia Mwanamke maneno kama hayo, atakuona dhaifu, cha kufanya siku zote wewe sex naye tu na uhskikishe unampe Game fresh na usiongelee mambo ya mahusiano hiyo ni kazi ya Mwanamke siyo yako, hivyo usithubutu na kama ukipuuzia ushauri wangu mwambie hayo maneno hlf uone baada a muda utarudi hp kama wenzako kulalamika na kutukana Wanawake baada ya kupigwa chini!

Wee kula good time naye tu hlf yeye mwenyewe atakuuliza vp tunaelekea wapi kimahusiano!
Wewe ni legendary.
 
Nikiwa nae sehemu tulivu ntaanza kumwambia maneno haya:

"Kipindi tulipokuwa pamoja tulikuwa kama marafiki tulishirikiana katika mambo mbalimbali, inawezekana kuna sehemu nlikukwaza kwa namna moja au nyingine lakini nataka ujue kwamba siku zote nlikupenda kwa dhati japo pamoja na kuonesha upendo wangu ktk urafiki wetu lakini kwangu upendo huu ulikuwa ni zaidi ya urafiki"
Ntahema kwanza ndani kwa ndani then,

"Jua ya kwamba upendo wangu ni zaidi ya sisi kuwa marafiki, natumaini ya kwamba sasa ndo muda sahihi wa mimi kukwambia kuliko muda wowote ule, naomba unikubalie niwe wako siku zote ikiwezekana mpaka tuwe mume na mke" .....

nakupenda sana "M" zaidi ya unavyofikiria natumaini wewe ndo Nuru na taa yangu siku zote za maisha yangu.

Maoni yako kama naweza kurekebisha mstari wowote au niongezee nini wadau??

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kusema hayo.. Dada M anakuangalia kwa macho ya hasira.. Bila ya kutegemea unastukia kofi moja takatifu la shavu la kushoto..! Wakati huo huo dada M macho yake yanaanza kuwa mekundu na anaanza kulia..!

Anasema " sikutegemea kama Richardson unaweza kunitamkia maneno ya kijinga kama hayo!" Anaendelea kusema "Kipindi chote hiki nmekuwa nikikuchukulia kama ndugu yangu wa damu, kumbe wewe ni nyoka!"

Ghafla anasimama, analia kilio chenye kwikwi! Nawe Richardson unasimama..! Dada M anataka kuondoka unamshika mkono.. "Nimesema niache!" anakwambia, unajikakamua mwanaume unasema "usiniumize moyo wangu M jua mpaka nasema haya nmefikilia sana na wala sijakurupuka"

Itaendelea...

Si unapenda drama..?! Seeenzi..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom