Haya ndo majibu ya kuwapa wadada wapiga mizinga!

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Nancy: dia nipo kariakoo, kuna jeans nimeiona imeipenda inauzwa 25000 tu, ningenunua sema wallet nimesahau nyumbani, please nirushie tigopesa darling
Peter: *150*01#...
TigoPesa: Umepokea Tsh 600 toka kwa Peter....
Nancy: Dia mbona mia 6 tu?
Peter: Nauli, 300 kwenda home kuchukua wallet, 300 kurudi Kkoo kuinunua. Vipi ni nyeusi? Maana dia ukiwa kwenye nyeusi unatokaga bomba sana.
wish to see u in it!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom