Haya ndiyo maisha ya Mchaga hapa duniani na Akhera toka mwanzo wa dunia

waigizaji bongo wanashindwa kutumia fursa,story kama hii ni tamu sana
kama Turkey wanatumia historia yao vizuri kama sultani{hii inaelezea utawala wa himaya ya Ottoman} kuna ertugrul{hii inaelezea chimbuko la himaya ya ottoman}.kazi kuigiza jini amevaa barakoa tu
 
Jini amevaa barakoa mkuu asante kwa kunifanya nicheke.
 
Shukran chief na ubarikiwe,nadhan jamii forum inaweza kuwa sehem ya mwanzo (Platform) ya kuenzi tamaduni zetu nzuri za kiafrica, mods please think of it.
1.Lugha za kiafrika
2.Majina ya kiafrica.
Binafsi nina watoto wawili wa kike, wakwanza ana jina la jamii ya kizulu wapili anajina lenye asili ya uchagani (Haika)...sikuona umuhimu wa kumuita mtoto jina ambalo siwezi kumuelezea vyema kwa dhati ya moyo wangu,hii ni muhimu sawa kwa historia ya jamii yetu ya kitanzania,asili ya u Africa!
 
Kila mwisho wa mwaka unapofika huwa unatokea mrundikano mkubwa sana wa abiria pale stand ya Ubungo, na abiria wote hao huwa wanaelekea Moshi na Arusha.
Mfano mwaka huu Treni, mabasi na ndege za kutoka Dar kuelekea Moshi zimejaa.! Kwa nini wachaga wamerundikana Dar tu?
Mbona hatusikii magari kutoka Mwanza kwenda Moshi kujaa? Mbona hatusikii magari kutoka Nairobi au Kampala kwenda Moshi kujaa??

Wazaramo itabidi muwachunguze vizuri hawa wachaga.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Magari yanoyotoka huko ulikokutaja ni mengi ndugu nimeyaona
 
Kuna mchaga mmoja yupo FB kule akitumia jinà la urithi wetu wachaga , anazo contents kama zote nafiri ni historian au mtafiti wa mambo ya kale .

Anahimiza Sana mila Tamaduni na desturi za wachaga kuenziwa Pamoja na kuhifadhiwa na kufanyiwa marekebisho.

Anafanya documentation KWA Picha ,maandishi .
 
Back
Top Bottom