Elections 2010 Haya ndiyo matokeo Halisi?: Kikwete: 44.56% Na Dr. Slaa 44.45%

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wana JF;

Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.

UPDATE 1:

Je haya ndiyo Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC ??

UPDATE 2:

Waungwana, nimeongea tena na chanzo changu ambacho ndicho kilichonipatia taarifa hii. Matokeo yaliyoambatanishwa nimejulishwa ni yale ya utafiti wa ndani ambao ulifanywa kabla ya uchaguzi. Actual results nimeambiwa zikitolewa sasa hivi inaweza kusababisha kutoelewana.

Tuvute subira mpaka hapo taarifa ya uhakika itakapotolewa kutoka kwa wahusika.

SM
 
Attachments

  • Kura Halisi.xlsx
    13.7 KB · Views: 874
  • NEC Results Zilizochakachuliwa.xlsx
    171.9 KB · Views: 558
  • Kura Halisi-R.xlsx
    13.7 KB · Views: 452
Duh, ccm ni shetani wakubwa! Kumbe wameiba kura nyingi kiasi hiki? Makubwa haya!
 
Tukipata file la original results itakuwa njema otherwise uwiano huo mbona haureflect wabunge
 
Bila ya shaka nitatuma mara tu nitakapotumiwa.

Hata hivyo hapa JF wengi mnajua kwamba zaidi ya majimbo 12 inasemekana CHADEMA walishinda lakini hawakutangazwa washindi.

Pia taarifa zinaonyesha kuwa CHADEMA walikuwa wametarget mikoa yenye wapiga kura wengi zaidi ya 1 M. Mikoa hiyo ni Shinyanga, Kagera, Mwanza, Mbeya, DSM na Iringa. Inasemekana kitakwimu mikoa hii ina kura nyingi sana.

Mnaweza kufuatilia fact hii kutoka National Bureau of Statistics au NEC.
 
Tukipata file la original results itakuwa njema otherwise uwiano huo mbona haureflect wabunge

Wana-CCM wengi waliwapigia kura wabunge wa chama chao lakini kwenye kura za urais walimpa Dr. Slaa.
 
Wana JF;

Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.

Mkuu, nina shaka na "usahihi" wa chanzo chako, nashawishika kuwa kimejiwekea tu tarakimu ili kujifurahisha.
 
Wana JF;

Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.
Thanx
 
Tukipata file la original results itakuwa njema otherwise uwiano huo mbona haureflect wabunge
Njowepo
Makosa makubwa yaliyofanyika mwaka hu ni kufikiria kila aliyempa mbunge wa CCM kura alimpa Kikwete! Hiyo sio kweli. Kuna watu wengi sana wa CCM na wasio wa CCM waliamua kumpigia Dr Slaa kwa sababu waliona Kikwete hana uwezo wa kuwa rais. Ni wengi sana.... na hii ndio ilifanya tume ya uchaguzi isitangaze matokeo ya ubunge mapema.... ili wachakachue yaendane na ya urais.....
 
Wana JF;

Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.
HAPOHAPO!! KIUKWELI WIZI UPO LAKINI JE? ina maana vyama vingine vyooote vimepata chini ya 12% kwa kwa kwa kwa kwaaaaaa:nono:
 
Mchanganuo wa Ushindi ni kama ifuatavyo:

Dr. SLAA ameshinda mikoa 10
KIKWETE ameshinda mikoa 11
JUMLAi mikoa 21
 
Mikoa ambayo Dr. Slaa ameshinda ni:

ARUSHA
DAR ES SALAAM
IRINGA
KAGERA
KILIMANJARO
MANYARA
MARA
MBEYA
MWANZA
SHINYANGA
 
Mikoa ambayo Kikwete ameshinda ni:

DODOMA
KIGOMA
LINDI
MOROGORO
MTWARA
PWANI
RUKWA
RUVUMA
SINGIDA
TABORA
TANGA
 
CHADEMA were very strategic wameenda kwenye maeneo ambayo yana population
 
Back
Top Bottom