Haya ndiyo mapambano ambayo nina hamu sana kuyaona

Tatizo la Ortiz kapigana na watu wa kawaida, pambano lake pekee kubwa ni dhidi ya Wilder na game zote 2 kapoteza kwa KO, hiyo inanifanya nisimpe nafasi kabisa kwa Joshua aliyewapiga watabe kama Parker, Whyte, Klitschko, Povetkin. Simuoni kama Ortiz ni technical kumzidi Parker. Mtu anayestruggle kumpiga Bryant Jennings siwezi kumuona mkali, AJ takataka kama hizi alikuwa anazimaliza ndani ya Round 4, nadhani unamchukulia poa AJ kwasababu ya pambano la Ruiz

Style makes fight, aina ya upiganaji wa AJ ni kama ule wa Efe Ajagba, yaani, hawana good defense, wako slower, wanamudu kupiga straight targets, wana nguvu sana, wako too rigid na musculine, kifupi wao ni FIGHTERS zaidi kukiko BOXERS, Ortiz ni semi technical kuliko AJ hivyo wakipambana AJ atapata shida kubwa.

Wewe angalia pambano la AJ na "mzee" Kiltscho, kama huyo mzee angalikuwa kwenye Pick yake kama alivyopambana na Haye au Lewis mambo yangekuwa mengine, si uliona jinsi Joshua alivyokuwa knocked down kwa "straight shot", bondia ukipigwa na straight shot maana yake hujui defence, your head movement is poor, upo rigid kwa udhaifu huo Ortiz lazima amuweke chini AJ.

AJ atakuwa mzuri pindi atakapompata kocha wa kum tune ili awe angalau Semi technical kama jinsi Canelo alivyokuwa leo baada ya kupigwa na Mayweather, Canelo alikuwa kama alivyo AJ lakini kabadilika drastically ukilinganisha na jinsi alivyokuwa kabla ya mpambano na Maywether.
 
Klitschko aliyepigana na Haye sio yule aliyepigana na Lewis. Ni kweli AJ alistruggle against Wladmir Klitschko but pamoja na uzee wake i think he is still better than Ortiz, kumbuka Ortiz naye ni 'mzee'. Vilevile AJ kaimprove defense kwenye 'AJ vs RUIZ-2' ameonesha hilo, Wilder ana defense mbovu kuliko AJ but Ortiz alishindwa kumdondosha. Kwenye rematch ya Wilder vs Ortiz KO ilitokana na straight shot kutoka kwa Wilder je unasemaje kuhusu hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndiyo mapambano ambayo nina hamu sana kuyaona.

1) Terence Crawford vs Error Spence (Truth)

2) Terence Crawford vs Gervonta Davis (Tank).

3) Gervonta Davis vs Vassily Lomachenko

4) Andy Ruiz vs Luis Ortiz

5) AJ vs Tyson Furry

6) AJ vs Alexander Usyka

7) Alexander Usyka vs Povetkin

8) AJ vs Luiz Ortiz (King Kong)

9) Bill Saunders vs Canelo

10) Pacquiao vs Terence Crawford.

Bonus: Pambano la Claressa Shields vs Laila Ally (mtoto wa marehemu Muhammad Ally) kuna tetesi anataka kurudi tena ulingoni mwaka huu.

Kibongo bongo pambano ambalo ninalolihitaji sana ni pambano la Mfaume Mfaume vs Hassan Mwakinyo.

Japo Mfaume Mfaume umri umesogea lakini bado nina imani kubwa anamchakaza Hassan Mwakinyo.

Hatimaye

Hatimaye pambano la AJ na Usyk limefanyika , bado hayo mengine
 
Bill Saunders na Canelo hatimaye limefanikiwa
 
Namba 1,4,6,9 Tayari.
 
Kuna pambano walichej Ortiz na Wilder aisee jamaa wanagongana ngumi, yan unasikia tu pah pah pah pah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom