Haya ndiyo Maoni ya gazeti la Rai

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Haya ndiyo maoni ya gazeti letu 'TUKUFU' la Rai
Ufisadi usitufumbe Macho

katika kipindi cha takribani miezi minne hivi,hapa nchini yametoke mambo ya kusikitisha.

Tumeshuhudia baadhi ya viongozi wetu wa serikali wakijiuzulu nyadhifa zao kutokana na tuhuma za ufujaji wa fedha za umma. Sababu kuu zinazoelezwa za kujiuzulu kwa viongozi hao,ni matumizi mabaya ya nyadhifa zao. Hali hiyo imesababisha baadhi ya yao kujikuta wakidaiwa kutumbukia katika mitego ya rushwa hali inayosababishwa na tamaa ya kujilimbikizia mali.

kutokana na misingi ya utawala bora,iliyoimarishwa zaidi katika serikali ya awamu ya nne,viongozi wote waliohusishwa na kashifa za ubadhirifu wa fedha za umma ,bila kujali iwapo wamehusika au la,wamewajibika kisiasa. Hilo ni jambo jema kwa taifa letu.

Ingawa viongozi hao wamejiuzulu kwa ridhaa yao kama hatua ya kutimiza misingi ya demokrasia na utawala bora,tungependa kuona hatua moja mbele zaidi. Hatua hii ni kuwachunguza na kubaini nani anahusika vipi.Tunapenda sheria ichukue mkondo wake,ambapo wote watakaobainika kuhusika watatiwa hatiani na kutumikia adhabu zao kwa mujibu wa sheria.

Hatuwezi kuhukumu,ila tunayo maswali ya kuuliza. Tunajiuliza iwapo waliojiuzulu kweli walihusika na hayo waliyotuhumiwa nayo,je, taifa hili lina viongozi wa aina gani? viongozi wetu wanajenga picha gani kwa Rais Jakaya Kikwete aliyewateua?

Pia kuna jambo la kusikitisha. Kwa sasa katika mfumo wea siasa za vingi ni rahisi kukinyooshea kidole chama tawala,CCM.Ni rahisi zaidi kuinyooshea serikali iliyopo madarakani . Ni rahisi mno kusema kwamba serikali haitekelezi wajibu wake ipasavyo.

Hili si jambo la kheri. Ni hatari kwani hali inavyoelekea taifa hili linakaribia kutumbukia katika mtego. Kwamba tumeacha mkondo wa kuzungumzia maendeleo, tumejikita katika ufisadi.

Ingawa wahenga walisema kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza, si lazima usemi huu uwe sahihi kwa hili la mafisadi. Ukweli unabaki kuwa wapo viongozi wengine wanaotambua wajibu wao na wenye uchungu na nchi yao. Tusiwachafue hawa kwa uozo wa wenzao. Tusiwachafue kwa tope la ufisadi.

Kama taifa tunahitaji tafsiri mpya ya neno ufisadi. Ufisadi umekuwa msamiati maarufu kweli katika taifa hili, na kila kona kuna msukumo(pressure) wa kuaminisha jamii kuwa kwa sasa kila mwanasiasa ni fisadi.

tumejiingiza katika mijadala isiyotoa majibu kwa matatizo yanayotukabili. Ni vyema sasa tuanze kubainisha njia nzuri za kukuza uchumi wa taifa hili. Serikali nayo ifike mahali ijue kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Kuwaachia watu wakaendelea na mjadala wa ufisadi huku wakipotosha ajenda ya maendeleo hakulisaidii taifa hili.

Kwamba serikali nayo sasa inaelekea kutumia muda wake mwingi kujadili ufisadi,badala ya kutueleza jinsi ya kujenga visima vya maji,barabara.zahanati,shule za sekondari na bila kusahau madawati katika shule za msingi,ni hatari pia.wakati umefika sasa tubadilike, au tutabadilishwa na upepo tusioujua si muda mrefu.

tunapaswa kutambua kuwa tumebakiza muda kidogo kabla ya serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi cha kwanza cha miaka mitano. Katika kipindi hiki tunapaswa kurejea katika ilani ya uchaguzi na kujiuliza serikali iliahidi nini na mpaka sasa imetekeleza nini. Huu utakuwa mjadala sahihi kwa ustawi wa taifa hili.

kutonakana na hali hiyo,watanzania tunapaswa kufumbua macho na kuangalia mbele kuhusu matatizo mengine ya kijamii. Ufisadi ni tatizo mojawapo ndiyo,tunasema usifumbiwe macho,ila usitupofushe katika matatizo mengine. Kama tupo kwenye mapambano ya kweli dhidi ya matatizo yanayolikabili taifa letu ni wazi mkakati wa sasa wa ufisadi hatufikishi tutakako. Mungu Ibariki Tanzania.
 
tumjiingiza katika mijadala isiyotoa majibu kwa matatizo yanayotukakabili. Ni vyema sasa tuanze kubainisha njia nzuri za kukuza uchumi wa taifa hili. Serikali nayo ifike mahali ijue kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Kuwaachia watu wakaendelea na mjadala wa ufisadi huku wakipotosha ajenda ya maendeleo hakulisaidii taifa hili.

dah! yaani nimesoma nilipofika katika paragraph hii nikachoka kabisa. jamaa anasema ni vyema sasa tukabainisha njia nzuri za kukuza uchumi, lakini hasemi kwamba ni vyema pia tukabinisha njia nzuri za kuulinda uchumi huo, ikiwemo kupambana na vitendo kama hivi vya ufisadi. sijui uchumi utakuaje iwapo pindi ukituna kidogo mafisadi wanaudokoa!.

mwandishi yeye la mafisadi kudokoa uchumi kwake siyo ishu ya kuzungumziwa bali ishu ni jinsi ya kuujenga uchumi huo, hii kweli kali ya mwaka.

tena jamaa anabainisha kwamba kuwaacha watu kujadili ufisadi sana ni kuvuka mipaka ya uhuru wa maoni!, duh masikini gazeti la rai,gazeti nililokuwa naumia kwelikwelii kulikosa kila alhamisi, leo limegeuka kuwa tofauti mno.
 
Hahahaha kwa kweli Balile anaakili za kifisadi, utajengaje uchumi imara iwapo watu wanachukua vijisenti na kujimbikizia nje? Mhariri wa rai I am sure you can do better than this...
 
RAI=Rostam Azizi=Spin Master wa Mafisadi

Kwa hiyo hapo geresha nyingi lakini bottom line wanatuambia "forgive and forget"
 
RAI=Rostam Azizi=Spin Master wa Mafisadi

Kwa hiyo hapo geresha nyingi lakini bottom line wanatuambia "forgive and forget"

Hivi huyu Rostam aliwezaje kutufunga magoli huko nyuma? naona kama sio
sio mkali kabisa.

Hizo SPINS zake ni rahis mno kuziona na kumshutukia.

Hao wabunge wa CCM waliokuwa wanampigia magoti nafaikiri sababu ya pesa za EPA tu.

Nimemsoma Rostam siku za karibuni, sioni kama ana uwezo mkubwa zaidi ya kuwa mwizi wa fedha za umma.

Nahisi kama mwisho wake unakaribia.
 
Kipindi kile kulikuwa hakuna network kubwa ya watanzania ya kumfuatilia kila move yake. Kwa sasa hana ujanja kwa sababu wote aliowachafua - Malecela, SAS, Sumaye, Waryoba, wanafight back to him chini kwa chini.

Amefanya makosa pia kuanza juhudi za kuchafua watu kama Mwandosya na wengine wanaokuja juu CCM na sasa moto unamwakia.

The guy is dumb ila tu watu wametumia rangi yake kupitiishia mamilioni ya pesa za wizi na sasa amegundua kuwa money cant buy love anymore!
 
Hatuwezi kuhukumu,ila tunayo maswali ya kuuliza. Tunajiuliza iwapo waliojiuzulu kweli walihusika na hayo wakliyotuhumiwa nayo,je, taifa hili lina viongozi wa aina gani? viongozi wetu wanajenga picha gani kwa Rais Jakaya Kikwete aliyewateua?

Pia kuna jambo la kusikitisha. Kwa sasa katika mfumo wea siasa za vingi ni rahisi kukinyoonyeshea kidole chama tawala,CCM.Ni rahisi zaidi kuinyooshea serikali iliyopo madarakani . Ni rahisi mno kusema kwamba serikali haitekelezi wajibu wake ipasavyo.

Hili si jambo la kheri. Ni hatari kwani hali inavyoelekea taifa hili linakaribia kutumbukia katika mtego. Kwamba tumeacha mkondo wa kuzungumzia maendeleo, tumejikita katika ufisadi.

Kama taifa tunahitaji tafsiri mpy ya neno ufisadi. Ufisadi umekuwa msamiati maarufu kweli katika taifa hili, na kila kkona kuna msukumo(pressure) ya kuaminisha jamii kuwa kwa sasa kila mwanasiasa ni fisadi.

tumjiingiza katika mijadala isiyotoa majibu kwa matatizo yanayotukakabili. Ni vyema sasa tuanze kubainisha njia nzuri za kukuza uchumi wa taifa hili. Serikali nayo ifike mahali ijue kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Kuwaachia watu wakaendelea na mjadala wa ufisadi huku wakipotosha ajenda ya maendeleo hakulisaidii taifa hili.

tunapaswa kutambua kuwa tumebakiza muda kidogo kabla ya serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi cha kwanza cha miaka mitano. Katika kipindi hiki tunapaswa kurejea katika ilani ya uchaguzi na kujiuliza serikali iliahidi nini na mpaka sasa imetekeleza nini. Huu utakuwa mjadala sahihi kwa ustawi wa taifa hili.

Kweli balile umehitimu,
Hivi hawa watu kama hawausiki kwanini wasije mbele ya wananchi na kuwaambia kuwa hawausiki bali walionewa, waje na evidence hata kama hizo evidence zinaingamiza CCM, hicho ndo tunasubiri, Boss wako RA alipata nafasi ya kujitetea lakini ameshindwa kufanya hivyo therefore anyamaze milele na aache kukutumia kujitetea.

Wanamwaibisha Raisi wetu na ndo maana watu wanasema inawezekana na yeye anausika kwa kuwa haiwezekani hata kidogo ukazungukwa na walafi na wewe ukaacha kuwa mlafi, unless anaspirit ya Dr. Shein, kwenye hili washauri wajondoe wenyewe serikalini ili kumpunguzia mzigo Raisi.

Wewe unaona sio jambo la heri kuhoji serikali yetu kwanini inakumbatia mafisadi, hii inashangaza sana kwa mtu kama wewe ambaye unatakiwa kuwa balozi wa Utawala bora ambao unapromote responsibility and accountability, inaitia haibu taharuma yako na kudhalilisha waandishi wenzio.

Maendeleo hayatakuja kama tutaendelea kuwaibia watanzania, unajua Bill. 1.2 za chenge zingejenga madarasa mangapi kwa ajiri ya kupigana na adui ujinga, unajua kuwa mill.152 wanazolipwa Dowans zingenunua vifaa kiasi gani kwa ajiri ya sekondari za kata. Shame on you, kuna wazee wanalala polini kuogopa kukamatwa kwa ajiri ya mchango wa sh. 10000 za sekondari ya kata, unajua kuwa kuna akina mama wangapi wanazalia nyumbani kwa sababu dispensari ziko mbali na wanapokaa, unajua kuwa kyela kuna sehemu tangia uhuru haijawahi kufika hata pikipiki kwa sababu barabara mbovu.

Majibu ya matatizo yanayotukabili tunayo wanachi na ndo maana tunamuomba mkuu wa kaya kuhakikisha anawapeleka maboss wako mahakamani warudishe walichowaibia watanzania, pesa waliyoiba itajenga tofauti kubwa sana ikirudishwa hazina. Mwizi mkubwa wewe unataka serikali izuie watu kujadili ufisadi ili uendelee kulipwa mshahara kwa pesa ya watanzania wakati wanakufa na njaa na wakipta mazao hayauziki kwa kuwa barabara mbovu pesa yote mnaiba wewe na maboss wako.

Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa kwa gharama kubw na damu ya watanzania hatuitaki, tunataka ilani inayotekeleza matakwa ya wananchi na sio matakwa ya maboss wako kwa kulet Richmonds, na EPA.

Have a nice evening.
 
Hili rai ni gazeti la fisadi gani? Eti tujenge uchumi huku mafisadi waliokupua mabilioni ya kusaidia katika kujengea uchumu huo wakiachwa huru huku wanapeta na utajiri walioupata kiharamu! Ukistaajabu ya Mussa....Mpaka kieleweke kuhusu mafisadi akina Mkapa and company
 
"-----miezi minne yametokea mambo ya kusikitisha?"

Kuondosha majambazi serikalini ni 'mambo ya kusikitisha?'

Huyu mwandishi wa habari anaona uhuru wa wananchi kuzungumzia mambo yanayowaumiza ni 'kuvuka mipaka?'

Kwa hiyo jambo zuri sasa ni kuwaachia mafisadi ambao bado hatujawang'amua waendelee kudhoofisha juhudi zetu za kujiletea maendeleo?

Maendeleo yatapatikana vipi kama juhudi zetu zinaishia kuwaneemesha hao wachache wanaofaidika na juhudi zetu!

Mwandishi anataka kutuziba mdomo ili yeye na hao wafadhiri zake waendelee kutuibia. Hili halikubaliki, si leo na wala si kesho. Hatuwezi kukubali tena kuibiwa mali zetu na huku tukiwapigia makofi na kuwashukuru kwa kututupia vipande vya mikate.
 
Haya ndiyo maoni ya gazeti letu 'TUKUFU' la Rai
Ufisadi usitufumbe Macho

katika kipindi cha takribani miezi minne hivi,hapa nchini yametoke mambo ya kusikitisha.

Tumeshuhudia baadhi ya viongozi wetu wa serikali wakijiuzulu nyadhifa zao kutokana na tuhuma za ufujaji wa fedha za umma. Sababu kuu zinazoelezwa za kujiuzulu kwa viongozi hao,ni matumizi mabaya ya nyadhifa zao. Hali hiyo imesababisha baadhi ya yao kujikuta wakidaiwa kutumbukia katika mitego ya rushwa hlai inayosababishwa na tamaa ya kujilimbikizia mali.

kutokana na misingi ya utawala bora,iliyoimarishwa zaid katika serikali ya awamu ya nne,viongozi wote waliohusishwa na kashifa za ubadhirifu wa fedha za umma ,bila kujali iwapo wamehusika au la,wamewajibika kisiasa. Hilo ni jambo jema kwa taifa letu.

Ingwa viongozi hao wamejiuzulu kwa ridhaa yao kama hatua ya kutimiza misingi ya demokrasia na utawala bora,tungependa kuona hatua moja mbele zaidi. Hatua hii ni kuwachunguza na kubaini nani anahusika vipi.Tunapenda sheria ichukue mkondo wake,ambapo wote watakaobainika kuhusika watatiwa hatiani na kutumikia adhabu zao kwa mujibu wa sheria.

Hatuwezi kuhukumu,ila tunayo maswali ya kuuliza. Tunajiuliza iwapo waliojiuzulu kweli walihusika na hayo wakliyotuhumiwa nayo,je, taifa hili lina viongozi wa aina gani? viongozi wetu wanajenga picha gani kwa Rais Jakaya Kikwete aliyewateua?

Pia kuna jambo la kusikitisha. Kwa sasa katika mfumo wea siasa za vingi ni rahisi kukinyoonyeshea kidole chama tawala,CCM.Ni rahisi zaidi kuinyooshea serikali iliyopo madarakani . Ni rahisi mno kusema kwamba serikali haitekelezi wajibu wake ipasavyo.

Hili si jambo la kheri. Ni hatari kwani hali inavyoelekea taifa hili linakaribia kutumbukia katika mtego. Kwamba tumeacha mkondo wa kuzungumzia maendeleo, tumejikita katika ufisadi.

Ingawa wahenga walisema kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza, si lazima usemi huu uwe sahihi kwa hili la mafisadi. Ukweli unabaki kuwa wapo viongozi wengine wanaotambua wajibu wao na wenye uchungu na nchi yao. Tusiwachafue hawa kwa uozo wa wenzao. Tusiwachafue kwa tope la ufisadi.

Kama taifa tunahitaji tafsiri mpy ya neno ufisadi. Ufisadi umekuwa msamiati maarufu kweli katika taifa hili, na kila kkona kuna msukumo(pressure) ya kuaminisha jamii kuwa kwa sasa kila mwanasiasa ni fisadi.

tumjiingiza katika mijadala isiyotoa majibu kwa matatizo yanayotukakabili. Ni vyema sasa tuanze kubainisha njia nzuri za kukuza uchumi wa taifa hili. Serikali nayo ifike mahali ijue kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Kuwaachia watu wakaendelea na mjadala wa ufisadi huku wakipotosha ajenda ya maendeleo hakulisaidii taifa hili.

Kwamba serikali nyao sasa inaelekea kutumia muda wake mwingi kujadili ufisadi,badala ya kutueleza jinsi ya kujenga visima vya maji,barabara.zahanati,shule za sekondari na bila kusahau madawati katika shule za msingi,ni hatari pia.wakati umefika sasa tubadilike, au tuatabadilishwa na upepo tusioujua si muda mrefu.

tunapaswa kutambua kuwa tumebakiza muda kidogo kabla ya serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi cha kwanza cha miaka mitano. Katika kipindi hiki tunapaswa kurejea katika ilani ya uchaguzi na kujiuliza serikali iliahidi nini na mpaka sasa imetekeleza nini. Huu utakuwa mjadala sahihi kwa ustawi wa taifa hili.

kutonakana na hali hiyo,watanzania tunapaswakufumbua macho na kuangalia mbele kuhusu matatizo mengine ya kijamii. Ufisadi ni tatizo mojawapo ndiyo,tunasema usifumbiwe macho,ila usitupofushe katika matatizo mengine. Kama tupo kwenye mapambano ya kweli dhidi ya matatizo yanayolikabili taifa letu ni wazi mkakati wa sasa wa ufisadi hatufikishi tutakako. Mungu Ibariki Tanzania.

Rostam Aziz International(RAI)
 
Kutokana na misingi ya utawala bora,iliyoimarishwa zaid katika serikali ya awamu ya nne,viongozi wote waliohusishwa na kashifa za ubadhirifu wa fedha za umma ,bila kujali iwapo wamehusika au la,wamewajibika kisiasa. Hilo ni jambo jema kwa taifa letu.

Hatuwezi kuhukumu,ila tunayo maswali ya kuuliza. Tunajiuliza iwapo waliojiuzulu kweli walihusika na hayo wakliyotuhumiwa nayo,je, taifa hili lina viongozi wa aina gani? viongozi wetu wanajenga picha gani kwa Rais Jakaya Kikwete aliyewateua?

Pia kuna jambo la kusikitisha. Kwa sasa katika mfumo wa siasa za vingi ni rahisi kukinyoonyeshea kidole chama tawala,CCM.Ni rahisi zaidi kuinyooshea serikali iliyopo madarakani . Ni rahisi mno kusema kwamba serikali haitekelezi wajibu wake ipasavyo.

Hili si jambo la kheri. Ni hatari kwani hali inavyoelekea taifa hili linakaribia kutumbukia katika mtego. Kwamba tumeacha mkondo wa kuzungumzia maendeleo, tumejikita katika ufisadi.

Ingawa wahenga walisema kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza, si lazima usemi huu uwe sahihi kwa hili la mafisadi. Ukweli unabaki kuwa wapo viongozi wengine wanaotambua wajibu wao na wenye uchungu na nchi yao. Tusiwachafue hawa kwa uozo wa wenzao. Tusiwachafue kwa tope la ufisadi.

Kwamba serikali nayo sasa inaelekea kutumia muda wake mwingi kujadili ufisadi,badala ya kutueleza jinsi ya kujenga visima vya maji,barabara.zahanati,shule za sekondari na bila kusahau madawati katika shule za msingi,ni hatari pia.wakati umefika sasa tubadilike, au tuatabadilishwa na upepo tusioujua si muda mrefu.

tunapaswa kutambua kuwa tumebakiza muda kidogo kabla ya serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi cha kwanza cha miaka mitano. Katika kipindi hiki tunapaswa kurejea katika ilani ya uchaguzi na kujiuliza serikali iliahidi nini na mpaka sasa imetekeleza nini. Huu utakuwa mjadala sahihi kwa ustawi wa taifa hili.

kutonakana na hali hiyo,watanzania tunapaswakufumbua macho na kuangalia mbele kuhusu matatizo mengine ya kijamii. Ufisadi ni tatizo mojawapo ndiyo,tunasema usifumbiwe macho,ila usitupofushe katika matatizo mengine. Kama tupo kwenye mapambano ya kweli dhidi ya matatizo yanayolikabili taifa letu ni wazi mkakati wa sasa wa ufisadi hatufikishi tutakako. Mungu Ibariki Tanzania.

Who wrote this? Naomba tufanye conference call naye niongee naye nimvue chupi hadharani!

I have never seen a low level of loyalty to the rulling class like this.

Huyu jamaa katutukana Watanzania. Anatuambia tuendelee kugeuza shavu? Uzalendo kwa fundisho la Kristo umenishinda.

Hivi ameshindwa kujiuliza kuwa hayo maendeleo anayodai yanakwama kwa watu kuongelea ufisadi yangepatikana kama hizo pesa na rasilimali zisingehujumiwa?

Mwenye kumjua huyu mwandishi, mwambieni aje Jambo Forum asome ile makala niliyoanzisha kuhusu Umasikini Wetu; Matumizi na Matanuzi! Akisha isoma atafakari kitu alichoandika!

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11967
 
..duh!mkuu unataka kufanya hayo hadharani!!?

..huyo jamaa mbona yuko plain naked tayari!

..inaonekana kifkira au kimwili haishi tanzania!
 
hey! hey! hey!

Shocked.jpg

"I can't believe this!"
 
Hayo ndo yanatokea mkuu, mtu mmoja kwa masilahi yake anauza utaifa wake, kweli njaa ni siraha kali sana.
 
Njaa itatuua tusipokuwa makini,sasa kama RA anamiliki 60% ya gazeti hilo la Rai huyo Mhariri anaweza vipi kukwepa mikono michafu ya RA? Wazalendo wote wamekimbilia Raia mwema.Ni kumweleza huyo mhariri kuwa RA atakapotimka (RA hana uraia mwingine kweli) yeye atakuwa mgeni wa nani,historia itamhukumu.
 
Kila Shetani na mbuyu wake...
 
Huyu alitufunga magoli kutokana na kupewa kifua na Mkapa, akisaidiwa na msataafu wa idara, FULL STOP!

Huyu jamaa ni mjanja sana akishajua one day watu waanza kudai chao ndo maana akakimbilia kunua magazeti yote, kwenye majira ana hisa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom