Haya ndiyo maneno ya ziada tuliyoongea na shetani kule bustanini

Wanawake waliyokata tamaa utawajua tu wana kila vitu vya kuwapotosha wezao ili wafanane wanapokutana club.
 
Pamoja na yale maneno ya ushawishi ya shetani kwa Hawa au Eva ya kula tunda la mti ule. Haya ni baadhi ya mengine ambayo shetani alituambia ila hayakupatwa kuandikwa.

1. Huruma - mwanamke hupaswi uwe na huruma kwa mpenzi wako au kwa mume wako bali kuwa na huruma kwa watoto wako wa kuzaa na wazazi wako waliokuzaa; usihurumie kiumbe ambacho upo nacho kwenye mahusiano au mliokutana ukubwani, na kama ni huruma basi onesha huruma ya kinafiki inayobadilika kulingana na hitaji la muda huo.

2. Mume au mpenzi wako anaweza akakutimizia kila kitu lakini kimoja kikipungua unapaswa kubadilika ghafla ili utafute hitaji la pale panapo pwaya.

3. Mpende mumeo au mpenzi kwa asilimia 99 mara mnapoanza mahusiano na kadri matendo mabaya ya mwanaume anayo kutendea shusha upendo hadi asilimia 1 (Mwangalie kwanza anavyoendelea kabla ya kuondoka au kutafuta madawa kwa wataalam).

4. Ukimuona mwanamke mwenzio amependwa sana na mume au mpenzi wake kuwa na wivu na wewe wa kupendwa na uliye naye, na kama uliye naye haonyeshi kukupenda kama unavyotarajia vamia penzi la wengine wanaopendana au anzisha penzi lingine ambalo utahisi utapendwa zaidi ya awali.

Mahitaji yenu ya msingi ni kupendwa + mahitaji (mapenzi na vitu + kubembelezwa + kulindwa)

Mwanaume akishindwa kati ya hayo badilika kwa kununa; kuwa na kinyongo, dharau, ongea sana halafu vumilia huku ukitafuta mbadala.

Mnaopenda kuuliza maneno mengine ambayo shetani aliongea na mwanamke pale bustanini ni hayo.

Kazi kwa wanaume kuyatafutia ufumbuzi au kuyatimiza ili dunia iwe sehemu salama hasa katika nyanja ya mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile 7800 umeishaimaliza...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
majukumu hatuyakimbii cutelove but tnakimbia tabia maana nyie wanawake hamnaga kubwa wala dogo
 
wanaume tumeagizwa kuwapenda wake zetu, wanawake wameagizwa kutii waume zao

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom