Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,049
- 24,428
=mwenendoTofauti ya wajima wa CCM na mwenendo wa kileo wa CHADEMA hupimwa kwa aina ya lugha wanazotumia,kwa mwenendu huu mtaendelea kushangaa matokeo ya vijijini kwa wasioathirika na bangi wala wavaa miregezo wa kimarekani tunaodhani kuwaiga ni usasa.
Hoja hujibiwa kwa hoja ukiona jibu lako ni mlipuko wa matusi maana yake huna jibu,ni bora kunyamaza.
=milegezo
Kajifunze kuandika kisha ndio uje.
Halafu hivi utawezaje kumwambia mtu anyamaze angali katiba ina mruhusu kuwa na uhuru wa kutoa maoni yake?
Wewe hapa umekuja na hoja gani?
Naona pia Ulimwengu amekuingia kichwani maana neno "milipuko" limekukolea, unalipuka kama ilivyo kwa jeuri ya pombe mataputapu (j.p.m)