Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 792
- 410
Ninapata kifugumizi kidogo kutokana na namna watz wanacyoonekana kubadilika taratibu. kwa sasa inaonekana kuna kizazi kipya kinaingia kwenye siasa za tz ambacho utashi wake na uwezo wake wa kupima mambo unatofautiana na kizazi cha watu wazima walioko. Huu no mtaji mkubwa kwa wanasiasa wa upinzani, kama wanaweza kuyatambua matakwa ya vijana na kuyajengea hoja za kisiasa. Wana uwezo mkubwa wa kubadili upepo wa siasa zetu.Uchaguzi wa mwaka juzi ni upi?