Haya ndiyo majibu ya wagombea wa CHADEMA walipo ulizwa swali! Hivi kupambana ni ajira mpya?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,206
42,067
Wasalaam wana jamvi.

Moja ya kasoro zilizo zijitokeza kwenye ujazaji wa fomu za kugombea uwenyekiti wa serikali za mtaa ni swala la shughuli anayo fanya mtu anayetaka kiti cha uenyekiti wa serikali za mtaa!

Moja ya masharti na kanuni za kutaka kugombea kiti cha uenyekiti wa serikali za mtaa ni kuwa mgombea lazima awe na shughuli halali inayo muingizia kipato!

Katika hili wengi ya wagombea wa CHADEMA wamelichukulia kimzaha sana yani mtu kwenye fomu aanaulizwa unafanya shuguli gani yeye ana jaza “Upambanaji”

Hata wanapo jaribu kuulizwa baada ya kulalamika kukatwa....

Unafanya shughuli gani? “Napambana”
Swali
Msimamizi - Unafanya shughuli gani?

Majibu
Mgombea -Napambana!

Hivi kupambana ni ajira mpya?

Wasalaam
 
Pumba.vu kabisa. Takataka hii ndiyo umeamua kuanzishia uzi? Utakuwa una undugu na mods. Siyo hivi hivi.
 
Wasalaam wana jamvi.

Moja ya kasoro zilizo zijitokeza kwenye ujazaji wa fomu za kugombea uwenyekiti wa serikali za mtaa ni swala la shughuli anayo fanya mtu anayetaka kiti cha uenyekiti wa serikali za mtaa!

Moja ya masharti na kanuni za kutaka kugombea kiti cha uenyekiti wa serikali za mtaa ni kuwa mgombea lazima awe na shughuli halali inayo muingizia kipato!

Katika hili wengi ya wagombea wa CHADEMA wamelichukulia kimzaha sana yani mtu kwenye fomu aanaulizwa unafanya shuguli gani yeye ana jaza “Upambanaji”

Hata wanapo jaribu kuulizwa baada ya kulalamika kukatwa....

Unafanya shughuli gani? “Napambana”
Swali
Msimamizi - Unafanya shughuli gani?

Majibu
Mgombea -Napambana!

Hivi kupambana ni ajira mpya?

Wasalaam
Kama hujui sasa ujue!
Kwamba kila mwenye akili lazima apambane na umasikini, ufisadi, uongo, wizi na UCHAFU wa kila aina.
Asiye na akili kazi yake ni kupamba umasikini, ufisadi, uongo, wizi na UCHAFU wa kila aina.
 
Huku kitaa ukisikia mpambanaji basi fahamu kuwa huko kwenu ndio ile mwaita ujasiliamali. Hivyo wala lisiwatese hilo
 
Hustling - Kupambana. ...Hustlers.

Form nyingi zimechakachuliwa - Why waandike kupambana badala ya Mjasiliamali au Mfanyabiashara ndogondogo?
 
Wasalaam wana jamvi.

Moja ya kasoro zilizo zijitokeza kwenye ujazaji wa fomu za kugombea uwenyekiti wa serikali za mtaa ni swala la shughuli anayo fanya mtu anayetaka kiti cha uenyekiti wa serikali za mtaa!

Moja ya masharti na kanuni za kutaka kugombea kiti cha uenyekiti wa serikali za mtaa ni kuwa mgombea lazima awe na shughuli halali inayo muingizia kipato!

Katika hili wengi ya wagombea wa CHADEMA wamelichukulia kimzaha sana yani mtu kwenye fomu aanaulizwa unafanya shuguli gani yeye ana jaza “Upambanaji”

Hata wanapo jaribu kuulizwa baada ya kulalamika kukatwa....

Unafanya shughuli gani? “Napambana”
Swali
Msimamizi - Unafanya shughuli gani?

Majibu
Mgombea -Napambana!

Hivi kupambana ni ajira mpya?

Wasalaam
Na hizi ndiyo kampeni kabambe za CCM
 
Back
Top Bottom