Haya ndiyo majibu ya NEC kuhusu Kampeni na Mikutano ya Siasa

Mwakaboko King

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
1,099
207
Ufafanuzi wa NEC kwa Waandishi wa Habari na umma kwa ujumla kuhusu kampeni za uchaguzi mdogo baada ya kufanyika kwa Mkutano kati ya NEC na Vyama vya Siasa jana. Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani anasema kampeni za uchaguzi ziendeshwe kwenye kata zenye chaguzi na si vinginevyo!
PART I

PART II


CHANZO: NEC ONLINE TV - TANZANIA
 
Ufafanuzi wa NEC kwa Waandishi wa Habari kuhusu kampeni za uchaguzi mdogo mara baada ya kumalizika kwa Mkutano kati ya NEC na Vyama vya Siasa jana.




Kila chama kiko huru kufanya kampeni kwa wananchi kinaowataka wakiunge mkono hasa kwenye kata zenye uchaguzi.
 
This is the rediculous,sheria ipi inayozuia kufanya kampeni nje ya kata?hivi nikiwa Dar siwezi kumuombea kura mgombea wa Mwanza?kwa sheria gani
 
This is the rediculous,sheria ipi inayozuia kufanya kampeni nje ya kata?hivi nikiwa Dar siwezi kumuombea kura mgombea wa Mwanza?kwa sheria gani

Ukamuombee kura wewe ni mgombea?kwa nini usiwaache wananchi wampime mgombea wao kwa hoja? Kwani wewe unaongeza nini ukienda mimi naunga mkono kampeni kufanyika kwenye kata zenye uchaguzi hizo nyingine fujo watu tufanye kazi enzi za kusomba watu na malori kwenda kata nyingine hazina nafasi
 
Hapana Caro, huo ndiyo ukweli wenyewe. Polisi wanatumika vibaya na CCM mpaka imefikia hatua tunawaona kama ni tawi la chama CCM.
Mi nachojua Wagombea Udiwani wanaruhusiwa kufanya kampeni kwenye kata zao! Hili ni jambo jema na ndiyo ruhusa yenyewe kwa mujibu wa NEC.

My Take! Hatua ya chama au mgombea au chama cha Siasa kwenda kufanya kampeni kwenye kata isiyo na uchaguzi ni fujo na ruhusa hiyo haijatolewa unless otherwise chama husika kikaombe kibali polisi kufanya mikusanyiko huko kusiko na uchaguzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom