Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rugemeleza, Oct 10, 2010.

 1. R

  Rugemeleza Verified User

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  "Achana na Dr. Slaa haya ndiyo maisha bora na mkinichagua nitahakikisha kuwa mnajenga nyumba nyingi kama hizi zenye kubeba picha zangu ili mimi, mke wangu, na mwanangu Ridhiwani tuendelee kuwatawala milele yote"

  [​IMG]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]Moja ya nyumba ambazo mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amkeuwa kizizungumzia kuwa ndio kipimo kikuu cha umasikini wa mtanzania. Nyumba hii ambayo ipo katika kijiji cha Majalila jimbo la Mpanda Magharibi, wakionekana familia ikiwa nje ya nyuma hiyo, kama walivyokutwa

  (Picha toka Mzee wa Matukio Daima kwa hisani ya Joseph Senga-Tanzania Daima)
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Safi sana...jamaa kajenga KAAPOTI ya baiskeli yake hapo kushoto
   
 3. M

  Mikomangwa Senior Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo slogan ya Maisha bora kwa kila Mtanzania haitoki tena kinywani mwa Kikwete! Bila shaka ameona mabanda yanayohifadhi washabiki wake; ameona watoto wa Kitanzania wakitoka kamasi , vifua nje na "vitambi" vya utapia mlo. Fikiria thamani ya nyumba hiyo ukilinganisha na thamani ya picha iliyobandikwa ukutani! Na ukweli ni kwamba nyumba hiyo pichani ni bora kuliko hata baadhi ya vibanda vilivyoko polini jimboni kwa Kikwete. Jee wewe mwana JF ungekuwa Kikwete ungetamka tena Maisha bora kwa kila Mtz? Machozi yananilengalenga... Dr Slaa ukiingia Ikulu wakumbuke sana watu maskini ili uurithi ufalme wa Mungu.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tanzania makumbusho wala hulipii, ukitoka makumbusho unaanza kuelekea mikoani ni vibanda vya makumbusho tu hadi utoboe nchi ingine...!!
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu you know what is more interesting?................Hiyo baiskeli ina thamani kubwa kuliko nyumba. Hakika ukistaajabu ya CHADEMA utaona ya CCM yatakayokuduwaza.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ianasikitisha kwakweli!
   
Loading...