Haya Ndiyo maendeleo , hatutaki porojo sisi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kazi inaendelea, Watanzania hatutaki Siasa za porojo tunataka Maendeleo, tunataka tatizo la foleni litatuliwe, na jitihada tunaziona!

Muonekano mpya wa Ubungo mwaka 2019!
04.jpg




18.jpg


Raisi wetu na Raisi wa Benki ya Dunia kwa pamoja wakiweka Jiwe la Msingi, ili kazi ianze mara moja!

1.jpg


20.jpg
 
Hahaha watu bana namuona mzee apo kashika picha ya mh kabisa mwingine katinga jezi ya chama siasa za bongo raha kweli kweli hasa usipokuwa mfuasi wa chama chochote yani ni burudaaaaani
 
Sifa ziwaendee watanzania wote kwa kulipa kodi. Walipa kodi wote lazima wapewe credit yao maana hawa watu hawachelewi kuleta siasa na show off kwenye miradi ya maendeleo kama hela wametoa kwenye mifuko yao.
 
Back
Top Bottom