Haya ndiyo maandamano yanayoruhusiwaTanzania tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndiyo maandamano yanayoruhusiwaTanzania tu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Straight corner, Jan 9, 2011.

 1. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF nimejaribu Kufikiria ni maandamano ya aina gani yaliyowahi kupewa baraka na serikali yetu kwa miaka ya hivi karibuni nimekosa jibu, pengine tukumbushane tu!

  Naona sasa maandamano yanayoruhusiwa na serikali ya Tz ni ya viongozi wakubwa tena wengine mafisadi wanapokuwa wanarejea vijijini kwao, wanapotua airport wakitokea nchi za nje kuuza ka-inchi ketu.
  Jamani mbona hata Mchungaji mmoja waumini wake waliwahi kuandamana kumpokea kutokea airport hadi kanisani kwake bila shida wala sababu zozote za kiintelijenjia kujitokeza?
  Nafikiri ile ibara inayoruhusu maandamano ya amani ifutwe kwa sababu imetawaliwa sana na habari za kiintelijensia
  hapa nchini.
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  haha, inauma lakini kuna ka-ukweli
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ya kuwapokea mafisadi kama wafalme!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Maandamano ya kupinga malaria haikubaliki, miaka 50 ya uhuru, mashujaa wa uhuru na yanayofanana na hayo! Maandamano yoyote ya kupinga uamuzi wa serikali hayakubaliki na serikali kwa sababu za kiintelejensia au kiusalama kwani ni ngumu kuthibitisha.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Maandamano ya kumpokea JK kuwa mwenyekiti wa Africa.

  Maandamano ya kumpokea JK akitokea Ulaya kubadilisha damu.

  Maandamano ya kumpokea JK akitokea Chalinze kutoa Kafara.

  Hayo yote ruksa!
   
 6. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,689
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Shame on you ruthless GOVT of sisiem:baby:
   
Loading...