Uchaguzi 2020 Haya ndio yatakayoiangusha CCM kwenye uchaguzi 2020

Upinzani mkishindwa kukiondoa hiki chama cha walevi na wendawazimu madarakani, nitawaona wa hovyo kabisa!
Upinzani unachohitaji mwaka huu ni

1. Kuhamasisha nguvu ya umma katika kulinda kura

2. Kuhamasisha nguvu ya umma katika kusimamia kuhesabu kura na kutangaza matokeo yote ya kura.

CCM kwa waliyoyafanya miaka hii mitano nina uhakika wananchi wakikomaa hata vyombo vya dola vitawanawa.
 
Upinzani unachohitaji mwaka huu ni

1.Kuhamasisha nguvu ya umma katika kulinda kura

2.Kuhamasisha nguvu ya umma katika kusimamia kuhesabu kura na kutangaza matokeo yote ya kura.

CCM kwa waliyoyafanya miaka hii mitano nina uhakika wananchi wakikomaa hata vyombo vya dola vitawanawa.


Absolute
 
Kimsingi hakuna:
-MFANYAKAZI
-FANYABIASHARA
-MKULIMA
-MWANAFUNZI
Anayeweza kuipigia kura ccm labda wale wa chato tu...
 
Kupoteza ndugu zetu kina Azory Gwanda, Ben Saanane, Kanguye hatujasahau, kutumia pesa za nchi kununulia ndege , Kajenga uwanja wa chato bila idhini ya bunge.Kupora hela za mifuko ya hifadhi ya jamii. Kuipeleka ni hi uchumi wa kati hewa.
 
Wapinzani wasiji complicate, watembee na vitu hivyo 10 tu, na mifano yake basi. Msg inakuwa simple na Clear.

Wakisema Tumenunua ndege wao waseme mishahara haijaongezwa kwa miaka mi 5.

Wakisema tumejenga fly over wao wanasema mafao hayatoki.

Mfano kama huo. Kwa kusini na Zanzibar ndio kabisa.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani twende na hoja hizi zilizo wazi kabisa!! Awe ni Membe, Tundu Lissu, Freeman, Zitto Kabwe au Maalimu Seifu hizi ndiyo hoja msumari na nina hakika Magufuli na MATAGA wake hawatoboi asilan labda kwa KUIBA KURA!😂
 
Back
Top Bottom