Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Huyu CHIEF MKWAWA apewe heshima nyingi sana, mkaka mstaarabu sana, hachoki kutoa ushauri, anamjibu kila mtu tena kwa kirefu, anajitolea muda wake mwingi sana kutusaidia sie tusiojua mambo ya technology,

Na huyu mkwepu jr ana heshima yake pia, hana makuu yeye anagonga like tu.

Yote kwa Yote, JF ni kiwakilishi cha jamii tuliyonayo, huu ni ulimwengu uliojitosheleza, uyaonayo humu ndiyo hayo hayo yaliyopo mtaani.
 
Back
Top Bottom