Haya ndio matunda ya safari za nje za JK!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
610x.jpg
 
nimatembezi na ufahari mwingine usio na maana
Si kuna kipindi walikuwa wanasema firstlady wa jamaa ni mjamwepesi?? na yeye atapakiwa kwenye bajaj? ntapenda kuona bajaj nayo ina namba za magogoni
 
Its his time to enjoy in the position he was dreaming for ten years before won the election in 2005
 
Si kuna kipindi walikuwa wanasema firstlady wa jamaa ni mjamwepesi?? na yeye atapakiwa kwenye bajaj? ntapenda kuona bajaj nayo ina namba za magogoni

Usielewe vibaya Mkuu wangu. Mwenyewe alimaanisha hii gari hapa chini:

bajaj_car.jpg
 
Back
Top Bottom