Haya ndio matumizi sahihi ur wife, for the sake of ur marriage!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndio matumizi sahihi ur wife, for the sake of ur marriage!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NasDaz, May 26, 2009.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280

  Haijalishi kwamba sijaoa, au sina experience ya ndoa; but am sure this is the best way to make your (for men) marriage stronger for ever and ever!!! This is even more important, kama unahisi mkeo ni aina ya wale wanawake wenye tabia ya “ usinibabaishe, hujaniokota barabarani!” Tutake tusitake, mwanamke anavyo-advance kwa namna yoyote ile kitakachofuata hapo ni kumu-undermine mume wake!!Najuwa si wanawake wote wenye silika hii, but wengi wao wapo hivi, hususani wale ambao hawajaelimika (hata kama ni PhD holders)! Now, here is how to deal with such types of women but who’re salaried workers:
  1. Never encourage them to have money saving behoviour!!When women save, the saving is mostly for their own!! Akishapa mshiko wa kutosha, huyoo ataenda kujenga kwao. Na akijenga mji huo huo mnaoishi hapo ndo basi tena, “usinibabaishe kibao zitaibuka!”
  2 . Akikukwambia mshahara wake anataka kununua silver chain, mui-encourage adunduize three more salaries ili anunue gold chain, and the next two salaries anunue golden rings!!!
  3 . Akikuambia kwamba mshahara unaofuata anataka kununu pamba pale Zizzou Fasion, mwambie pamba za uhakika zinapatikana Woolworth! Tell her, hana haja ya kuhofu kuhusu family affairs, uta-settle tu!! Mruhusu afanye even three consecutive savings ili akapate pamba za kufa m2 pale Woolworth!!
  4. Ukiona anapenda sana kuangalia tamthilia, na mnatumia ordinary antenas ambazo chengachenga ni kwa kawaida, basi jifanye unamuhurumia na wewe jifanye you don’t mind about watching TV!! Mwa-advice anunue dish, tena lile la futi nane ili afaidi vizuri tamthilia!!! Hata siku akipata mashetani yake ya kwamba ataondoka huku akijivuna kwamba ana asset zake hapo home, am sure, akikumbuka kwamba asset yenyewe ni dish la futi nane, linalohitaji winji kuliinua, hapohapo stimu zitamkatika!!
  5. Never encourage her kununua fenicha za ndani kwenu!! Wanawake wapuuzi, pale wanapopandwa na mashetani yao, hufikiria kukomba fenicha zilizopo ili akuadhiri!!! Akijuwa hakutoa hata senti moja kwenye fenicha hizo, basi shetani lake litashuka tu, ambalo vinginevyo lingepanda kiasi cha kuitaji muaguzi!!
  6. Akikuambia anatamani kununua gari, encourage her achukue loan na anunue gari with cc above 2500!!
  7. Kama unajihis kwamba wewe ni mtu wa busara sana, basi mui-encourage a-take responsibility ya masuala ya nyumbani!! Tell her, mshahara wake ndio utumike kwa chakula hapo home and other daily domestic expenditures!!
  8. When you find her frustrated, muulize kama ana kiasi kidogo benki, and if the answer is YES, encourage her to go for vacation, na mwambie utamlipia air ticket to ZNZ! Hata kama pesa zingine atazibania kwenye a/c wakati wa kurudi ndo lazima azi-draw ili afanye shopping on her way back!
  9. Kwa kifupi, unatakiwa kumpiga changa la macho kuhusu matumizi ya pesa zake!!
  10. At the end of story, atajikuta ana asset za kumwaga ambazo zote ni za kipuuzi mtupu!! Hapo heshima itadumu milele dumu!!
  11. Wakati haya yanafanyika, have good financial management kwenye fedha zako!! Make rational use of your money!!Invest them, in possible and sustainable money making investiment
  12. Mind, hii si kwa ajili ya kumkomoa mkeo, but for the sake of ur marriage! It sound very ridiculous, but try to ignore it and u’ll see!
  13. Here then, is for married women! Ukiona mumeo anafanya hayo hapo juu, ni kwamba anataka usiwe na meno kwavile meno yenu mara nyingi mnayatumia vibaya!!
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kwa nini utengeneze mazingira ya yeye kushindwa kuondoka kama akitaka? Mwanaume anayefanya hivyo kwa mkewe nadhani hampendi na amejawa na inferiority complex tu! Ndoa hata ikidumu miaka 100 kama hakuna mapenzi ni karaha tu!
   
 3. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Good observation.
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  1.Ni wanawake wangapi wasiokuwa na uwezo wa kufikiri kiasi hicho?
  2. Cha msingi ni kuwa na maelewano mazuri na kuendelea kuimarisha ndoa yenu kama hutaki aondoke.
  3. Wapo walioondoka na kusamehe kila kitu kwenda kuanza moja na wakafanikiwa.
  4. Uhuru wa mtu kama anautaka huwezi kuuzuia kwa minyororo ya material things.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndoa jamani siku zote inanichanganya sana ndo maana bado nipo nipo sana.
  Mapenzi hayana formula kabisa sijui Ndoa inaformula ati WOS?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Thank you...kwa kuwa niko mbioni kuowa kabla ya Yo Yo 2012 nimejifunza kitu hapa....nakushukuru sana sana....nimejifunza kitu....wanawake sijui wakoje unaweza kuta yuko almost 40s lakini mkipishana kidogo utamsikia mimi nakwenda kwetu....huwa najiuliza wapi? nani hana kwao? Nani hana wazazi?

  Akikuzidi shule na elimu ndo karaha zaidi atataka hata uwe unamlamba pua kama si nywele
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hata mie sijui ndugu yangu.Muulize Msanii hahah.
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ingia kwenye ndoa with an open mind ndipo utafurahia maisha yako ya ndoa ndugu yangu.
  Ukiwa na mawazo kama haya akilini na kufuata ushauri wa aina hii...utapotoka maana utaingia kwenye ndoa na bias tayari.Utakuwa always defensive au reactive.
   
 9. K

  Kelelee Senior Member

  #9
  May 26, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante Woman of substance........point zako zote safi. Just to add to this topic......wanawake wengi wa leo wenye huo uwezo kifedha anaowadiscuss mwana jf mwenzetu..hawatakuuliza eti nifanye a, b, c with the money she has....na akibaini mume si mpenda maendeleo anafanya projects zake kimyakimya hehehehe....siku ya siku unasikia ana nyumba, shamba na assets zake kibao ambazo hata hujui wewe unakaa unafikiri eti unamuundermine ili umcontrol........inakuwa imekula kwako hehehhe.......marriage is all about love, understanding na ushirikiano wa dhati...the rest is history
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naona wengi walio kwenye ndoa wanakaraha tu......kuna rafiki zangu fulani wako kwenye ndoa ....niliwapigia simu kutaka ongea na mume wake yule dada ....ajabu akanijibu Afande Tibagana hayupo....nilicheka sana, nilipokuja onana na mshikaji nikamwambia mzee umebadili jina? akasema naye achana na Ananilea Nkya akiwa anamaana mkewe....hii inaonyesha ndoa yao ikoje....kabla ya kuowana there was no such names calling....
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ukiona namecalling tena zenye kuashiria mambo fulani ujue basi ndoa hiyo iko kwenye matatizo.
  Name calling kwenye ndoa zipo sana -nizijuazo mimi ni kama hizi:
  - Mr...mfano wewe ungeitwa M.
  -Dingi, maza,
  - Mr Cool kama wewe ni baba mpole au unaependwa nyumbani
  -Mama Kali
  Halafu yako yale majina japo si mabaya lakini yanaashiria mtu anavyotafsirika kwa mwenzie
  - Tibaigana - hii nilikuwa najua ni wanawake wakali wenye kudhibiti waume zao - sikujua hata kwa wanaume pia linatumika
  - Mbeijing - mwanamke mwenye kuonekana anajua haki zake

  Yapo yale mabaya ambayo wala hutataka kuyajua
  - Kichaa
  - Mpumbavu
  Wanandoa jamani peaneni majina mazuri kama
  - Sweetie
  - La Aziz
  - Mahabuba n.k.
   
 12. K

  Kelelee Senior Member

  #12
  May 26, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehehehhe...the last part is good
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh wewe si upo kwenye ndoa!
  Unatumia formula gani? Msanii atanipiga usanii tu
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  ulijuaje kwamba siyo bado niponipo kwanza?!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Do you allow application by chance?
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  no thanks.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kumbe tayari occupied.
   
 18. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Aghh! let them do what they want to do. The only way to deal with them is acting in SILENCE. OMG that is the best medicine.
   
 19. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,257
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  thanks wos, maisha ya ndoa huwa hayana formula iliyoandikwa kitabuni, si usanii, unahitaji kuwa wewe zaidi! kila mtu anayo njia pekee ya jinsi ya kuendesha ndoa, simpingi NasNaz bali napenda kuamini huo ni mtazamo wake ambao pia unaweza kuwa sahihi kwake lakini kwa mwingine akijaribu kuyafuatia akapotea! matendo yetu huwa yanaambatana sana na mawazo ,ukiishajijengea kuwa kinamama waliokuzidi (kielimu,uchumi) ni wa aina hiyo tayari utakuwa unajenga kitu kingine ndani kwa ndani ili kuweza kukabiliana nao, wakati mwingine wao wanaweza wasiwe na mawazo hayo ila wewe mwenyewe ukawapeleka huko, ukija shtuka inakuwa too late kwani kina dada nao ni wagumu wa mabadiliko ila wakibadilika ngumu kurudi.
   
 20. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ...it is a killer anyway! utakuwa hujasolve kitu. lol
   
Loading...