Haya ndio matangazo bora ya biashara kwangu kwa mwaka 2016

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
1.TANGAZO LA NYATI CEMENT

Hili ndio tangazo bora kwangu na lenye ubunifu wa hali ya juu kuwahi kutokea kwa makampuni yetu ya hapa Tanzania

Katika tangazo hili wametumia ubunifu mkubwa kuitangaza nyati cement
Hakika hili tangazo limewavutia wengi kununua cement yao.

2.TANGAZO LA BIA YA SERENGETI

Hili tangazo nalo halina mda mrefu kwenye vyombo vya habari lakini linavutia sana kuangalia
Hasaa pale chui anaposema "nipe bia ninywee"

Pia nimeona thread nyingi zikiponda shirika la ndege Atcl kuwa matangazo yao hayana ubunifu
ATCL mna cha kujifunza kwa mashirika ya wenzenu namna ya matangazo yanayovutia wateja!
 
Umenichekesha kweli..tangazo la nyati?..linakosa ukweli na uhalisia
..pale mawe yanapoporomoka tokea mliman...wakiamin kabisa mawe yataivunja nyumba..lkn bado wakaingia ndan ya hiyo hiyo nyumba..kweli haikuvunjika...kusha wanatoka nje wanashangaa kwanini hakuvunjika?..walitaka wafie mle ndani?
 
1.TANGAZO LA NYATI CEMENT

Hili ndio tangazo bora kwangu na lenye ubunifu wa hali ya juu kuwahi kutokea kwa makampuni yetu ya hapa Tanzania

Katika tangazo hili wametumia ubunifu mkubwa kuitangaza nyati cement
Hakika hili tangazo limewavutia wengi kununua cement yao.

2.TANGAZO LA BIA YA SERENGETI

Hili tangazo nalo halina mda mrefu kwenye vyombo vya habari lakini linavutia sana kuangalia
Hasaa pale chui anaposema "nipe bia ninywee"

Pia nimeona thread nyingi zikiponda shirika la ndege Atcl kuwa matangazo yao hayana ubunifu
ATCL mna cha kujifunza kwa mashirika ya wenzenu namna ya matangazo yanayovutia wateja!

ATCL waige hata huku.

Kwa upande wangu Sijapenda kabisa tangazo la Coca Cola sababu zifuatazo
1.Linahamasisha watoto kuwaonea wadogo zao
2.Halina uhalisia,angalia pale ile coca iloponywewa na kurudishiwa yule mdogo ilikuwa bado imejaa
Tangazo lililonivutia sana japo silioni tena niliwahi kuliona clouds maharusi wapo beach wanapiga picha mara mchuuzi wa samaki akaingilia picha na samaki wake began. Huku akiwachafua maharusi. Lkn mwenyewe full taba sam. Mengine hilo la cement ya nyati na matangazo ya tigo. Big up wabongo. Marketing is an intelligent art
 
Back
Top Bottom