Haya ndio matamanio ya CHADEMA

Mkuu, Chadema walishakwambia wanataka wateuliwe kwenye uongozi wa serikali hii, au umeamua tu kuanzisha mada ili kufurahisha ukumbi? Hebu tume mfano wa malalamiko yao kwa kutopewa uongozi, sisi wengine hatujawahi kusikia malalamiko hayo. Siku zote sisi tunajua wanalalamikia kuzuia kufanya shughuli za siasa .....
sasa mbona wakina Mbowe wanalalamika kuwa Raisi hawashirikishi?
 
Hivi watanzania wakilalamika kwamba hawashirikishwi kwenye maamuzi fulani maana yake ni kwamba wanalilia kuongoza serikalini??? that is 13 century thinking..!!
 
Kuna hoja za kisiasa zinajengwa na baadhi ya watu wengi wao wakiwa wafuasi wa CHADEMA..'nchi hii tutawale wote si ya mtu mmoja au chama kimoja'. Ukiangalia juu juu unaweza usielewe maana yake, ila ni malalamiko watu hawa wanatamani yafuatayo;
  • Ili waridhike, Raisi ni lazima ateuwe wana-CHADEMA/CUF/NCCR kushika nafasi za uongozi kama uwaziri nk.
  • Eti, Mara kwa mara Raisi awaite kujadiliana nao kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote na pia Raisi atekeleze maoni yao kwani kwao ndio 'demokrasia'.
  • Eti, Raisi asichukulie hatua viongozi wanaoharibu ili wao wajadili kwanza, kisha watoe maagizo ya mtu huyo kutimuliwa ili 'kujenga dhana ya bunge kuisimamia serikali'. Raisi akifanya yeye itaonekana anataka sifa peke yake.
My take;
Serikali ya JMT si ya umoja wa kitaifa na hakuna kipengele kwenye katiba kinacholazimisha Raisi kuteuwa wapinzani. Pia ieleweke serikali ya umoja wa kitaifa ilipingwa na wapinzani kuwa haitofautishi serikali na upinzani, kama mtakumbuka hata CUF walibaguliwa na Chadema baada ya kuingia SUK.

Hata hizo nchi zilizoendelea kama US,UK serikali huundwa na watu wenye itikadi moja. Fuatilia teuzi za Trump, Fuatilia teuzi za Theresa May..nk..nk. Huko US imembidi mkuu wa CIA kujiuzuru kumpisha Triump kisa alimpinga kipindi cha kampeni, na si Trump Kampisha, hii inamaanisha mhimili wa dola 'umejichimbia zaidi',

Huyu Trump anatakiwa afanye teuzi zaidi ya 4400 wakiwamo majaji,wakuu wa usalama nk., hata kwa zile nafasi ambazo hawezi kuwaondoa unajipima mwenyewe kama utaweza kufanya naye kazi? kama huwezi ondoka tu hata kama mkuu wa majeshi kwani yeye ndiye amiri jeshi mkuu japo Obama alisema hastahili.

Si jaji mkuu wala spika wanaohofiwa bali ni Raisi...na hapa ndipo jibu la Paskali Mayala linapopata jibu kimataifa.

Nawasilisha.

mmepewa nchi mwalalamika, chademaa hawapo katika dola bali ccm, mnapofanya makosa mengi mnawapa coverage so called CHADEMA. hakuna mtu atatoa lalamiko ktika ukweli

tena we unaonekana ni mtu mkubwa tu serkaliin ila kama unamawazo finyu na hasi hivi unatatizo tena kubwa.

wakiwa wanasema we fanya kazi wakiona matunda watakutukuza kama mungu.

yani unataka ukisema ccm hoye chadema waseme hoyeeee? ujinga na upumbavu, embu fanyeni kazi mnamuaibisha raisi anaeonesha nia na dhamila ya kutuletea maendeleo.

mda wa kazi tena juma3 unapata muda wa kuandika uozo. unabahati umetumia jina feki.

mheshimiwa kamata huyu mtu mchunguze vizuri
 
Heko wakudadavua kwa kujituma vilivyo. Mtu akisoma andiko lako atabaini unatetea CCM na serikali yake.

Si dhambi kuwa mwanachama au mshabiki wa chama chako kilichoko madarakani. Dhambi atakayotenda mtanzania yeyote bila kujali ni mfuasi wa chama gani ni kuvaa miwani ya mbao, kuendekeza njaa na kukumbatia unafiki yanapokuja masuala ya Taifa letu.

Serikali inakuwa haifuati utawala bora wa misingi ya haki na sheria, raia waelimishwe na wahamasishwe kupaza Sauti zao dhidi ya kuminywa Uhuru wa kujieleza, kudhoofisha uchumi wa nchi, nk. Watanzania wanataka miradi ya maendeleo yanayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Watoto wetu wasome. Bombardier zilizonunuliwa bila kuzingatia bajeti ni zao; si za mkulima wala mfugaji ambaye akienda hospitali anakosa Dawa.

Unapojenga nyumba unaanza na msingi. Kinachoshuhudiwa hivi sasa ni ujenzi wa msingi wa utawala inaoweza kuwa na athari mbaya sasa na baadaye. Vijana na wajukuu wa Tanzania ndio watafaidi au wataumia sio nyie mashabiki.
 
mmepewa nchi mwalalamika, chademaa hawapo katika dola bali ccm, mnapofanya makosa mengi mnawapa coverage so called CHADEMA. hakuna mtu atatoa lalamiko ktika ukweli

tena we unaonekana ni mtu mkubwa tu serkaliin ila kama unamawazo finyu na hasi hivi unatatizo tena kubwa.

wakiwa wanasema we fanya kazi wakiona matunda watakutukuza kama mungu.

yani unataka ukisema ccm hoye chadema waseme hoyeeee? ujinga na upumbavu, embu fanyeni kazi mnamuaibisha raisi anaeonesha nia na dhamila ya kutuletea maendeleo.

mda wa kazi tena juma3 unapata muda wa kuandika uozo. unabahati umetumia jina feki.

mheshimiwa kamata huyu mtu mchunguze vizuri
hili ni tatizi na kutumia vilevi vya moshi mkali.
 
Na watasubiri sana. Na JPM keshawaweka walipostahili.

Walizoea kwa JK, wakikohoa tuu, wanaitwa kunywa juice Magogoni.

JPM keshaumaliza mchezo, walikuja na UKUTA akaufutilia mbali kabla hata hawajaanza kuuchimbia.

Sasa wamekuja kibwagizo kilichobuma cha KATA FUNUA. watu hata hawaulizi katafunua ni nini. CDM imebidi wawe wapole tu maana nyimbo zao hazina mvuto kabisa kwa sasa. kwa ujumla wameishiwa.

JPM sasa hivi anawasubili na hiyo KATA FUNUA, halafu yeye awamalize kabisa na KATA FUNIKA, hapo ndio basi kabisa hawataamka tena. KWISHA HABARI YAO.
Kuna hoja za kisiasa zinajengwa na baadhi ya watu wengi wao wakiwa wafuasi wa CHADEMA..'nchi hii tutawale wote si ya mtu mmoja au chama kimoja'. Ukiangalia juu juu unaweza usielewe maana yake, ila ni malalamiko watu hawa wanatamani yafuatayo;
  • Ili waridhike, Raisi ni lazima ateuwe wana-CHADEMA/CUF/NCCR kushika nafasi za uongozi kama uwaziri nk.
  • Eti, Mara kwa mara Raisi awaite kujadiliana nao kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote na pia Raisi atekeleze maoni yao kwani kwao ndio 'demokrasia'.
  • Eti, Raisi asichukulie hatua viongozi wanaoharibu ili wao wajadili kwanza, kisha watoe maagizo ya mtu huyo kutimuliwa ili 'kujenga dhana ya bunge kuisimamia serikali'. Raisi akifanya yeye itaonekana anataka sifa peke yake.
My take;
Serikali ya JMT si ya umoja wa kitaifa na hakuna kipengele kwenye katiba kinacholazimisha Raisi kuteuwa wapinzani. Pia ieleweke serikali ya umoja wa kitaifa ilipingwa na wapinzani kuwa haitofautishi serikali na upinzani, kama mtakumbuka hata CUF walibaguliwa na Chadema baada ya kuingia SUK.

Hata hizo nchi zilizoendelea kama US,UK serikali huundwa na watu wenye itikadi moja. Fuatilia teuzi za Trump, Fuatilia teuzi za Theresa May..nk..nk. Huko US imembidi mkuu wa CIA kujiuzuru kumpisha Triump kisa alimpinga kipindi cha kampeni, na si Trump Kampisha, hii inamaanisha mhimili wa dola 'umejichimbia zaidi',

Huyu Trump anatakiwa afanye teuzi zaidi ya 4400 wakiwamo majaji,wakuu wa usalama nk., hata kwa zile nafasi ambazo hawezi kuwaondoa unajipima mwenyewe kama utaweza kufanya naye kazi? kama huwezi ondoka tu hata kama mkuu wa majeshi kwani yeye ndiye amiri jeshi mkuu japo Obama alisema hastahili.

Si jaji mkuu wala spika wanaohofiwa bali ni Raisi...na hapa ndipo jibu la Paskali Mayala linapopata jibu kimataifa.

Nawasilisha.
 
Uandishi wa kilumumba,yote uliyoandika ni maoni yako!"Mytake" ya nini?Au huelewi matumizi yake?
Endelea kutunga wanayofikiria wengine
 
Back
Top Bottom