Haya ndio mambo aliyoyasema Tundu Lissu wakati wa kampeni mwaka Jana akapuuzwa sasa yanajitokeza

Maendeleo hayana chama ndugu zangu tulipe kodi
FB_IMG_16251278422694287.jpg
 
Magufuli naye ni yaleyale tu takataka kule

Elfu 20 za machinga kama sio wizi ni nini?
Aisee hivi hii ya Vitambulisho kama imepoteza mwelekeoe!!!

Maana tunaelekea Disemba hivi vitambulisho vipya hata havina mvuto na machinga hawajishughulishi navyo wala nini!

Yaani eti ukiwa na kitambulishk hutabughudhiwa na mtu, kwani ukitamka tu kuwa 'Machinga wote wasibughudhiwe na mtu yeyote bila kuwa na kitambulisho nani atawasumbua?'

Ilikuwa danganya toto ahahahahah
 
Back
Top Bottom