Haya ndio majina ya Makatibu Tawala wa Wilaya wapya kuanzia Julai Mosi, 2016

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,432
7,055
Uteuzi huu umeanza mapema Julai Mosi mwaka huu.

Kada maarufu wa CCM, ndugu Mtela Mwampamba apangwa Wilaya mpya ya Ubungo (Dar es salaam).

Hongera kwao Ma-DAS wapya walioteuliwa. Wakafanye kazi kwa bidii na waepuke siasa za majitaka kwenye utekelezaji wa majukumu yao.

13600247_10209723863882639_4308487677943316839_n (1).jpg

13626965_10209723864362651_8849153833954044750_n.jpg
13557665_10209723864402652_900956944090323790_n.jpg

13612286_10209723863962641_1149814680103842115_n.jpg

13620967_10209723864722660_1114660202922309972_n.jpg
 
Hivi hawa kazi yao ni nini hasa. Hii post iko dormant sana. Yaani ukienda Wilayani ni kama vile hawapo kabisa. Wamekalia viti na meza hadi zinachakaa. Ni kupiga miyao tu.
 
Duhh!! hii nchi yaani ili upate vyeo vya DC, DAS, RC, RAS ni lazima uwe mwana CCM, kwa hiyo vyeo hivi vimekaa kwa ajili ya maslahi ya CCM na sio Taifa na ni wazi nchi inashindwa kusonga mbele kwa sababu ya mambo kama haya.
 
Dhana ya chama chochote cha siasa ni kuchukua dola mkuu.
 
Faiza Foxxy aula wilaya ya Tanga hongera sana ahahahahahaha
 
Nadhani utendaji wa wilaya mpya ya Ubungo unaweza kupwaya maana ni wilwyw mpya na watendaji wapya hiyo sio afya kwa wilaya hiyo.Kibaya zaidi ni wilaya mpya yenye mkuu wa wilaya mpya ambae anakinzana na cheo chake yaani anaamini hakina maana wala maslahi kwa watanzania sasa sijui kama ataiimarishaje wilaya yake

NINASHAURI POLEPOLE AONDOLEWE UBUNGO APELEKWE WILAYA ZILIZOKWISHA TENGEMAA KIUTAWALA LENGO NI KUIFANYA WILAYA MPYA IWE NA AFYA YA KUTOSHA
 
Uteuzi huu umeanza mapema Julai Mosi mwaka huu.

Kada maarufu wa CCM, ndugu Mtela Mwampamba apangwa Wilaya mpya ya Ubungo (Dar es salaam).

Hongera kwao Ma-DAS wapya walioteuliwa. Wakafanye kazi kwa bidii na waepuke siasa za majitaka kwenye utekelezaji wa majukumu yao.

View attachment 363307
View attachment 363311View attachment 363312

View attachment 363309
View attachment 363310
Wafike na CV na Vyeti vyao,inamaana wanateuliwa bila kujua elimu zao na historia zao za utendaji.
 
Nadhani utendaji wa wilaya mpya ya Ubungo unaweza kupwaya maana ni wilwyw mpya na watendaji wapya hiyo sio afya kwa wilaya hiyo.Kibaya zaidi ni wilaya mpya yenye mkuu wa wilaya mpya ambae anakinzana na cheo chake yaani anaamini hakina maana wala maslahi kwa watanzania sasa sijui kama ataiimarishaje wilaya yake

NINASHAURI POLEPOLE AONDOLEWE UBUNGO APELEKWE WILAYA ZILIZOKWISHA TENGEMAA KIUTAWALA LENGO NI KUIFANYA WILAYA MPYA IWE NA AFYA YA KUTOSHA

Polepole ni mtu makini sana pia ni mbunifu naamini anaweza sana kuanzisha Wilaya mpya na ikapata mafanikio makubwa sana kuliko Wilaya zingine.
Anao uwezo wa kukabiliana na changamoto za aina zote!

Wana Ubungo wanaimani kubwa na Mhe Polepole. Mungu ampe nguvu ya kuwatumikia wananchi wake wa Ubungo.
 
Hizi teuzi ndio zinachelewesha mchakato wa ajira nini? Inawezekana mheshimiwa kaona akamilishe safu yake ya kutendanao kazi kwanza ndipo afungue dirisha la usajiri rasmi, Wazalendo wa kujitolea JKT, Walimu, Madaktari nk wasubili kwanza
 
Wanaona vyeti BAADA ya ajira?
Walitakiwa wawe na nakala za vyeti vyao KABLA ya ajira

Kama kweli hilo tangazo ni genuine basi serikali hii mhhh
 
Kazi ya prezidaa ni kuteua na kutengua,
Si angeenda hata kampala akutane na kina "netanyau" abadilishane nao mawazo jamani!!!!

Daah!!!!
 
Back
Top Bottom