Haya ndio majina ya Makatibu Tawala wa Wilaya wapya kuanzia Julai Mosi, 2016

Hizi nafasi za DAS na RAS naona ccm wameamua nazo kuzifanya za kisiasa zaidi kulipana fadhila
 
Tukisema hizi teuzi zimeegemea upande mmoja wa dini utaambiwa vigezo vimezingatiwa, ila kwa mwenye ufahamu na random sampling hatakubaliana kabisa...........

Yaani kila teuzi zinaangukia upande mmoja tu,
 
Yaani we akili yako dini na si uhalali.

Kitu feki hata mhuri na mteuzi hamna mnakuja na maneno ovyo kabisa kuyasikia.

Back
Top Bottom