haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanza, May 13, 2010.

 1. m

  mwanza JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 434
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Maisha Bora kwa kila Mtanzania  [​IMG]
  Akina mama ambao wanawauguza ndugu zao katika hosptali ya Wilaya ya Ludewe wakisonga Ugali nje ya wodi ya akina mama wanaosubiri kujifungua, kati ya akina mama 100,000.wajawaito 200 hupoteza maisha katika Wilaya hiyo kutokana na ukosekanaji wa miundombinu.
  [​IMG]
  Wanawake wajawazito toka katika vijiji 76 vinavyo zunguka Wilaya ya Ludewa wakiwa wamelala na wengine wakila chakula huku wakiwa wamesubilia siku zao za kujifungua katika hospitali ya Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Iringa kati ya akina mama 100,000 wajawazito 200 hufariki kutokana na ukosefu wa huduma.
  [​IMG]
  Inasikitisha: Baadhi ya akina mama wajawazito wakiwa nje ya wodi ya wazazi katika hospitali ya Wilaya ya Ludewa ambapo jengo hilo lina vitanda 6 na kila kitanda hutumiwa na akina mama wajawazito wawili. Wengine hulazimika kulala chini.

  http://ruhuwiko. blogspot. com/2010/ 04...ndio- haya.html


  SHULE ZA MSINGI:

  [​IMG]
  Wanaoonekana pichani ni wanafunzi wa shule ya Msingi Juhudi iliyopo katika Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma nchini Tanzania (http://www.wavuti. com/4/post/ 2009/11.. .-tanzania. html)

  [​IMG]
  Wanafunzi wa shule ya Msingi Kinole, katika halmashauri ya wilaya ya Morogoro, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaoikabili shule hiyo

  [​IMG]

  Mwalimu, Albert Juakali wa shule ya msingi Iboma iliyopo kijiji cha Udinde Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya akifundisha wanafunzi wa darasa la kwanza chini ya Mti wa Mbuyu

  [​IMG]

  Baba akimamia mama wakati anapakua mlo wa mchana huko Makete

  [​IMG]

  Usafiki kijiji tabu

  [​IMG]

  Kikwete ameyaona maisha haya? Maharusi na wapambe wao wakitoka kanisani
  --
   
 2. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,275
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hii ni kubwa kuliko ina maana trafiki hawaoni
   
Loading...