Haya ndio madhara ya kumpokea Lowassa UKAWA. Vyama vyapasuka rasmi

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Heshima kwenu Wanajamvi.

Tumeanza kuona chama kimoja baada ya kingine kumeguka rasmi. CUF wameanza rasmi kwa CUF bara kurudi ofisini huku CUF visiwani Makitawamepigwa butwaa.
Kwa style hii hii, Naonaz bundi huyu.huyu.anatua NCCR kwa Bibi Mosore kurudi madarakani nao pia walipinga sana inshu ya kuungana bila vikao na mtu waliyeamini ni fisadi.

Najua baadhi wananuna nyuzi kama hizi kuonekana lakini ndio ukweli.

Chadema nako.lipo kundi la Dr Slaa, nakumbuka Jon Mnyiika alihoji inakuwaje Mtu asilimu leo na Lorelei apewe usheikh,
Amejifunza lini ethics za chama nk. Hili kundi limezibwa mdomo midomo na nguvu ya pesa ya ulipo popote wapo.

Ukitathmini kwa undani utaona jamaa kawasomesha namba wote, mosi waliotaka kumvua Gamba Dodoma kwa maana ya CCem, Pili vyama shiriki ya UKaWa vilivyopita nchi nzima kutangaza Jamaa ni fisadi.

Baada ya huu.mtikisiko naona CCM kimefanikiwa kukomaa na kubaki madarakani na sasa kiongozi wake mkuu anakubalika.

Chadema hali sio shwari maana mwenyekiti haitishi uchaguzi na inaonekana anakatalia madarakani mithili ya madikteta.

Mbatia nae anawakati mgumu, kabla ya uchaguzi alikuwa na wabunge wengi hasa toka kigoma.

Wote walishindwa baada ya kupoteza muda mwingi na akiwa el.
 
Chadema ni watu na elimu zao usitajie nyie ccm km mtafanikiwa na siasa zenu uchwara,viwanda vimewashinda sasa mnajaribu hili ili kupoteza maboya.....fuatilia mapinduzi ya uvccm yenu pale arusha kwa ufisadi mlojijengea lkn sio kwa propaganda za kuzungumzia chadema.
 
chanzo ni LOWASA , leo hii tungekuwa na UPINZANI IMARA , wenyekufanya mambo yake kwa vikao MBOWE anaendelea kumhifadhi huyu jamaa , na kwa sasa yuko kamati kuu ,baada ya kulamba 5B kwa edo
 
Chadema ni watu na elimu zao usitajie nyie ccm km mtafanikiwa na siasa zenu uchwara,viwanda vimewashinda sasa mnajaribu hili ili kupoteza maboya.....fuatilia mapinduzi ya uvccm yenu pale arusha kwa ufisadi mlojijengea lkn sio kwa propaganda za kuzungumzia chadema.

Tatizo hamfanyii kazi mnapoelezwa mapungufu hata kama uzi unakuudhi sikiliza.

Hivi unapoongea utumbo kama huo wakati ni wewe ndio uliyetangaza edo fisadi unatumiaje elimu hapo
 
Mtu yeyote awaye yote hapaswi kusherehekea yanayotokea cuf
Na bahati mbaya kuna mkono wa dola (msajili)

Tumerudi 50 yrs nyuma Gn Ulimwengu
 
mtoa Uzi una shida sana,OK najua unajua ukweli na haki iko wapi! ila unajinafikisha tu hapa.juz kati ulileta Uzi hapa mreeefu sana.unalalamikia serikali yako ya ccm khs FAO la kujitoa,sawa endeleeni kufanya mnayofanya.iko siku
 
Heshima kwenu Wanajamvi.

Tumeanza kuona chama kimoja baada ya kingine kumeguka rasmi. CUF wameanza rasmi kwa CUF bara kurudi ofisini huku CUF visiwani Makitawamepigwa butwaa.
Kwa style hii hii, Naonaz bundi huyu.huyu.anatua NCCR kwa Bibi Mosore kurudi madarakani nao pia walipinga sana inshu ya kuungana bila vikao na mtu waliyeamini ni fisadi.

Najua baadhi wananuna nyuzi kama hizi kuonekana lakini ndio ukweli.

Chadema nako.lipo kundi la Dr Slaa, nakumbuka Jon Mnyiika alihoji inakuwaje Mtu asilimu leo na Lorelei apewe usheikh,
Amejifunza lini ethics za chama nk. Hili kundi limezibwa mdomo midomo na nguvu ya pesa ya ulipo popote wapo.

Ukitathmini kwa undani utaona jamaa kawasomesha namba wote, mosi waliotaka kumvua Gamba Dodoma kwa maana ya CCem, Pili vyama shiriki ya UKaWa vilivyopita nchi nzima kutangaza Jamaa ni fisadi.

Baada ya huu.mtikisiko naona CCM kimefanikiwa kukomaa na kubaki madarakani na sasa kiongozi wake mkuu anakubalika.

Chadema hali sio shwari maana mwenyekiti haitishi uchaguzi na inaonekana anakatalia madarakani mithili ya madikteta.

Mbatia nae anawakati mgumu, kabla ya uchaguzi alikuwa na wabunge wengi hasa toka kigoma.

Wote walishindwa baada ya kupoteza muda mwingi na akiwa el.

hii story yako ataielewa house girl wako tu.

Ni nani asiyejua kuwa CCM wanamtumia Lipumba na Mutungi kufanya huu upuuzi wenu?
 
Heshima kwenu Wanajamvi.

Tumeanza kuona chama kimoja baada ya kingine kumeguka rasmi. CUF wameanza rasmi kwa CUF bara kurudi ofisini huku CUF visiwani Makitawamepigwa butwaa.
Kwa style hii hii, Naonaz bundi huyu.huyu.anatua NCCR kwa Bibi Mosore kurudi madarakani nao pia walipinga sana inshu ya kuungana bila vikao na mtu waliyeamini ni fisadi.

Najua baadhi wananuna nyuzi kama hizi kuonekana lakini ndio ukweli.

Chadema nako.lipo kundi la Dr Slaa, nakumbuka Jon Mnyiika alihoji inakuwaje Mtu asilimu leo na Lorelei apewe usheikh,
Amejifunza lini ethics za chama nk. Hili kundi limezibwa mdomo midomo na nguvu ya pesa ya ulipo popote wapo.

Ukitathmini kwa undani utaona jamaa kawasomesha namba wote, mosi waliotaka kumvua Gamba Dodoma kwa maana ya CCem, Pili vyama shiriki ya UKaWa vilivyopita nchi nzima kutangaza Jamaa ni fisadi.

Baada ya huu.mtikisiko naona CCM kimefanikiwa kukomaa na kubaki madarakani na sasa kiongozi wake mkuu anakubalika.

Chadema hali sio shwari maana mwenyekiti haitishi uchaguzi na inaonekana anakatalia madarakani mithili ya madikteta.

Mbatia nae anawakati mgumu, kabla ya uchaguzi alikuwa na wabunge wengi hasa toka kigoma.

Wote walishindwa baada ya kupoteza muda mwingi na akiwa el.
Lowasa kujiunga Upinzani kosa lake nini hadi asakamwe kila siku? Ufisadi mnaotaja kila siku aliufanya akiwa Chama tawala bila kuandamwa. Nyota yake inangaa alipo mnamchafua. Akifanya hivi fisadi. Ebu tupeane tena maana halisi ya Fisadi.
 
Heshima kwenu Wanajamvi.

Tumeanza kuona chama kimoja baada ya kingine kumeguka rasmi. CUF wameanza rasmi kwa CUF bara kurudi ofisini huku CUF visiwani Makitawamepigwa butwaa.
Kwa style hii hii, Naonaz bundi huyu.huyu.anatua NCCR kwa Bibi Mosore kurudi madarakani nao pia walipinga sana inshu ya kuungana bila vikao na mtu waliyeamini ni fisadi.

Najua baadhi wananuna nyuzi kama hizi kuonekana lakini ndio ukweli.

Chadema nako.lipo kundi la Dr Slaa, nakumbuka Jon Mnyiika alihoji inakuwaje Mtu asilimu leo na Lorelei apewe usheikh,
Amejifunza lini ethics za chama nk. Hili kundi limezibwa mdomo midomo na nguvu ya pesa ya ulipo popote wapo.

Ukitathmini kwa undani utaona jamaa kawasomesha namba wote, mosi waliotaka kumvua Gamba Dodoma kwa maana ya CCem, Pili vyama shiriki ya UKaWa vilivyopita nchi nzima kutangaza Jamaa ni fisadi.

Baada ya huu.mtikisiko naona CCM kimefanikiwa kukomaa na kubaki madarakani na sasa kiongozi wake mkuu anakubalika.

Chadema hali sio shwari maana mwenyekiti haitishi uchaguzi na inaonekana anakatalia madarakani mithili ya madikteta.

Mbatia nae anawakati mgumu, kabla ya uchaguzi alikuwa na wabunge wengi hasa toka kigoma.

Wote walishindwa baada ya kupoteza muda mwingi na akiwa el.
Akili za panzi hizo
 
Hatariiiiiii

Waliotangaza kuwa jamaa ni fisadi ni hao hao waliopita kumnadi ati shujaa.

Kibaya zaidi evidence zipo humu jf hadi za video.
Amekaa ccm miaka 9 kwanini hamkumshitaki?mbona unatumia akili ya senene?
 
Chadema ni watu na elimu zao usitajie nyie ccm km mtafanikiwa na siasa zenu uchwara,viwanda vimewashinda sasa mnajaribu hili ili kupoteza maboya.....fuatilia mapinduzi ya uvccm yenu pale arusha kwa ufisadi mlojijengea lkn sio kwa propaganda za kuzungumzia chadema.
Asante sana mkuu kwa kulimwagia ukweli hilo gamba
 
Back
Top Bottom