Haya ndio madhara ya kumpokea Lowassa UKAWA. Vyama vyapasuka rasmi

Imekuwaje leo Slaa na Lipumba wanaonekana ndiomaarufu kwenye upinzani. Mbona walipokuwepo kwenye upinzani mlikuwa hamwasifu.
Mtu ukiamua kuacha kazi kwa barua yako hata kama hukujibiwa huwezi kujirudisha kwa maana kujirudisha ni lazima uandike tena nami nikujibu ndiyo ama hapana.
 
..mhh lowasa alivyoama ccm na alivyokuwa na wengi walompenda huko ccm nilijua ndiyo mwanzo wa ccm kusambaratika..lakini haikuwa hivyo ata kidogo..mzimu wake umekuja kuutesa upinzani!..ona yanayotokea cuf..nccr na chadema siyo salama kama tunavyodhani..mtu kama mnyika ni bomu linalosubiri muda wa kulipuka..nadhani wenye akili mnaona ukimya wake..kawa kimya mno..yote haya ni lowassa..kwa style hii msipomrudisha lowassa ccm, ccm itatawala mpaka mwisho wa nyakati..Haiingii akilini mtu (lowassa) mliyemchafua vile eti leo awe msafi ghafla mmpe mpaka nafasi ya kugombea urais!!! (watanzania hatupendagi ujinga) alitubu wapi huyu lowassa wenu kwa ghafla ile mliyomnyakua mpaka akawa msafi???
 
Hawasemi hadharani tu sema ni ngumu.kumeza.

Wa kubeba lawama.zote ni Mbowie aliyekulaga cha juuuu kwa madai edo kalipa madeni ya chama.

Swali ni nani aliyekuwa anakikopesha chama pesa kama sio mbowie, je nani alikuwa anatumia hiyo kopta Jibu ni jepesi sana Mbowie and Co.

Enheee kwa hiyo nani alilipwa hiyo pesa, jibu nalo ni elementary tu Mbowie
 
Back
Top Bottom