Haya ndio JK aliyokuja kuyafanya hapa Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndio JK aliyokuja kuyafanya hapa Mbeya

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kurzweil, Jul 22, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Sunday, July 22, 2012

  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete azindua rasmi mradi wa majisafi na usafi wa mazingira eneo la Swaya Jijini Mbeya leo
  [​IMG]
  Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa anawasili eneo la Sweya mchana huu kwa ajili ya uzinduzi wa Mradi wa maji safi
  [​IMG]
  Mamia ya watu waliofika Kuhudhuria na kushuhudia uzinduzi huo
  [​IMG]
  Hili ndilo eneo ambapo Mh. Rais Jakaya Kikwete alifika na kuzindua Rasmi
  [​IMG]
  Mh. Dr Rais Kikwete akisalimiana na Baadhi ya watu wanao husika na Mradi eneo hilo
  [​IMG]
  Mh. Dr Jakaya kikwete akizungumza jambo wakati wa uzinduzi huo
  [​IMG]


  [​IMG]
  Wageni waalikwa wakiwa wanashuhudia Tukio hilo
  [​IMG]
  Mh. Rais akiwa anaonesha kitu
  [​IMG]
  Eneo la mradi wa maji safi linavyo onekana kwa ukaribu zaidi
  [TABLE]
  <tbody>[TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
  <ins style="display:inline-table;border:none;height:250px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:250px"><ins id="aswift_0_anchor" style="display:block;border:none;height:250px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:250px"></ins></ins>
  News Alert: Rais Dr Jakaya kikwete awasili salama katika uwanja wa Kimataifa wa Songwe Mbeya mchana Huu


  [​IMG]
  Muda Mchache baada ya Ndege ya Rais Kuwasili katika uwanja wa kimatiafa wa Songwe Mbeya
  [​IMG]
  Umati wa watu ukimngojea Mh. Rais Jakaya Kikwete
  [​IMG]
  Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa anashuka kwenye ndege
  [​IMG]
  Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na madiwani
  [​IMG]
  Rais Dr Jakaya Kikwete akiwa anapita kati kati ya watoto skaut
  [​IMG]
  Rais Dr. Jakaya Kikwete akiendelea kusalimiana na waheshimiwa Madiwani
  [​IMG]


  [​IMG]
  Rais Dr Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi Songwe Mbeya
  [​IMG]
  Rais Dr. Jakaya Kikwete akivishwa Skafu

  [​IMG]

  [​IMG]
  Hivi ndivyo uwanja wa Kimataifa wa Songwe unavyo onekana kwa sasa
  [TABLE]
  <tbody>[TR]
  [TD="class: reactions-label-cell"] Reactions:[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]


  Saturday, July 21, 2012

  Kyela Polytechnic College yazinduliwa rasmi leo na Balozi wa Uingereza nchini, Bi Diane Corner


  [​IMG]
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu baba jamani sijui hata kama anajieewa kwa kweli!!!! kheeee
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Lawama jamani hz,
  zimezidi.
  Lipi jema kwake?
   
 4. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Pilau ilikuwa hakuna?maana naona nguo za kijani za magamba aka wazee wa pilau na mchele!
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  ni jambo jema kama anafanya mambo ya maendelo na kuacha porojo porojo...kwa hili lazima nimpongeze
   
 7. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  me mwenyewe nimeona ngoja waje wenyewe watatoa maelezo
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwahiyo huu ndio uwanja mkubwa wa kimataifa wa SADC? mbona hata majengo hayana mvuto?..tuelewesheni jamani....
   
 9. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona mradi km huo hata mkuu wa wilaya angezundua tu na yeye angekaa ofisini kucheck wale mafisadi wa papa km wameshughulikiwa au angekuwa kwenye mkutano anajadili namna ya kusitisha mgomo wa madaktari...
  Halafu rangi za kijani za nini km sio ushamba!
   
 10. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Rais jakaya kikwete kiongozi bora hajawahi tokea tanzania tangu tupate uhuruuu
   
 11. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Hivi kila mradi lazima JK akazindue jamani? kule kijijini kwetu tulisubiria uzinduzi wa mradi wa umeme kwa miezi zaidi ya 6 kisa tu ratiba ya mkuu imetight
   
 12. Jeruh

  Jeruh Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwani hiyo safari ni ya kichama ama kiserikali?naona rangi za kijani zimezidi ufafanuzi tafadhali kwa anayeelewa
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Huu mradi hakuna waziri mstahiki.....where is delegation of authority?
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watu wenye akili fupi hujivunia upumbavu kwake hilo ni kubwa sana japo ni kitu cha kijinga kulinganisha na 50years.
   
 15. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  jamani sasa fitina tuzihamishie kwa vijana watakao kuwa na umri wa miaka 18 au zaidi, kuwahamasisha kushiriki kwenye daftari la kudumu la kupiga kura ule wakati utakapo wadia ili tushinde bila longo longo
   
Loading...