Haya mnyama ana sifa nyingi!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
IMG_20171103_145723.jpg

Wengi wanapenda kufuga huyu mnyama.

Wengine wanamuogopa sana huyu mnyama.
 
Huyu namfuga kama pambo la ndani tu ila rafiki yangu mkubwa
ni mbwa tu ndiyo maana NGUSSA NA HOLLO ndiyo marafiki zangu hata ikitokea shida huwa wanajua rafiki yao nina shida inanisibu wanakaa karibu yangu kunifariji likitokea varangati lazima wanitetee ila paka akisikia mlio tu ni mbio ndani
 
Back
Top Bottom