Haya mavazi jamani tuyachukulie tahadhari kwani yanatuharibu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya mavazi jamani tuyachukulie tahadhari kwani yanatuharibu!

Discussion in 'JF Doctor' started by JATELO1, Dec 22, 2011.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  WANA JF;
  Kati ya vitu vinavyochangia pia uume kuwa mdogo ni kukosekana/upungufu wa mtiririko mzuri wa damu kwenye UUME. Na hii inachangiwa sana na mavazi tunayovaa sisi wanaume. Hasa chupi zetu zikiwa zimebana sana uume wetu na hivyo kusababisha damu kupita kwa shida kwenye mishipa ya Uume. Hili ni taztizo kubwa sana; ndiyo maana wataalamu wanashauri kwamba, ni vizuri wanaume tujaribu kuvaa nguo zinazoruhusu damu kupita kwenye uume bila shida na hata wkt mwingine tukiwa majumbani basi hakuna haja ya kuvaa chupi. Inashauriwa kwamba ni vizuri uvae nguo itakayokupa hewa safi na nafasi sehemu zile. Kwa Waislamu Wanaume wanapenda kuvaa lile vazi kama Khanga/kitenge (nimesahau jina mtanisamehe-mnisaidie jina la hilo vazi) na hili vazi ni zuri sana kwa ajili ya kuboresha UUME wetu, kwani inaruhusu Damu kupita kirahisi na hata hewa kupita hizo sehema bila tatizo. Kuna watu ambao si Waislamu kama mimi lkn katika hili hata sisi tunavaa haya mavazi kwa ajili ya afya zetu. Ikishindikana unaweza kuvaa KITENGE, Unaogopa nini, si uko kwako na kama muda mwingi uko chumbani ni kwanini unahofu kupata upepo?
  Pili, ni hatari sana kulala usiku huku umevaa mavazi mengi kama Chupi, mara Bukta juu, maana joto litakalozalishwa si njema kwa afya ya Uume wetu.Hivyo, Wanaume wanashauriwa kulala huku chini pako free ili kitu kijinafasi. Na ktk hili uwe umeoa au uko single poa tu.
  Jamani, Joto linalozalishwa na haya mavazi yanachangia sana kuharibu size za Uume wetu, na hivyo ni vizuri tuchukue tahadhari.

  Hata Wakina Dada/Mama ambao nao hupenda kuvaa Blauzia zinazowabana sana nazo ni hatari, kwani tafiti zinaonyesha kwamba hili nalo inachangia kwa kiasi fulani matatizo ya Cancer ya Matiti. Hivyo, wanashauriwa wakina mama/dada kwamba, Nyakati za Usiku mnapolala ni vizuri walele bila Blauzia.
  Nawasilisha.

  Source: Masomo mbalimbali yanayohusu mambo ya kiafya.
   
 2. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani wanaume wenzio wamekusikia.Watazingatia hasa humo ulimoweka msisitizo
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  nimekupata mkuu!!
   
 4. u

  utantambua JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  elimu nimeipata, thanks
   
 5. p

  pilu JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Akina kaka mnalo ,mwe! Zingatieni!
   
 6. papag

  papag JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  ukalale makambako uchi na baridi yake weeeeeeee...mimi thithemii
   
 7. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani na wewe unapenda ikiwa kubwa???
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  what's this thing called uume mdogo, I think if you think sex satisfaction is a function of size of the penis then absolutely you are nothing short of a sex sadist!

  No matter what a size of a vagina is all what matters is maufundi yako ktk kumtosheleza mpenzi wako
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Lasikoki,
  Kuna mashimo mengine hata ufanye ufundi kiasi gani utachemsha tu.
   
 10. M

  Madaraka Amani Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Swali kama saizi ina matter wanaweza kulijibu vizuri zadi wanawake naomba volunteer miongoni mwao
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Waislam hawavai (Kanga au kitenge ) Waislam wanavaa vazi la shuka au Msuli Mkuu
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Kumbeeeeeeeeeee! Ndo maana huku umasaini oversize ni nyingi eeeeeee! Nshapata jibu kwani siku zote huwa nashangaa nnapokuwa kwa mikutano na wamasai mbona 'vitendea' kazi vyao ni oversize na viko wazi jamaa hawavai chupi, kitu kinapata hewa kwa raha zake.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hii kashfa sasa! mie simo kabsaaaaaa!
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  tatizo la vazi lisilobana ni pale unapokuwa njiani na umechomekea halafu unapata mhemko aidha kwa fikra ama kwa kuona ama kujigusa na jinsia ya kike kwenye usafiri. Ni aibu
   
 15. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ili nisiuite uzushi au mawazo yako yasiyo ya kusadikika naomba weka reference.

  Ukishindwa basi huu ni upuuzi.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ahsante sana mkuu, ila kama anatomy inasema ukweli, basi kuwa na mshedede wa kutosha mama, ni lazima uwe na upana wa chupa ya safari:embarassed2::embarassed2:
   
 17. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu hili swala siyo uzushi kabisa.

  Uzalishaji wa mbegu(manii) kwa wingi hutegemeana na joto linalopatikana kiwandani.
  Kama joto litakuwa jingi basi uzalishwaji wa manii huwa ovyo.Na manii huzalishwa kwa wing katika hali ya baridi.

  Ndiyo mana kukiwa na joto sana pumbu(korodani) mfuko wake hulegea na kufanya pumbu ziwe free kutogusana na joto la mwili.
  Na pindi kunapokuwa na barid sana pumbu husinyaa na kujibana ili ziweze pata joto la mwili.Hali hii hufanyika automatic kwani uzalishwaji mzuri wa mbegu ktk pumbu hutegemea joto maalumu likizidi au kupungua basi production ya sperms huwa duni ndiyo mana mwili hufanya kitendo hicho automatic.

  Sasa nguo hizi za kubana huwazinafanya pumbu ziwe na joto mda wote.Na hapo ndipo wanaume wengi tujilogapo na kuhangaika kutafuta mchawi nani??
   
 18. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, umejaribu kuja kumtetea RDI lakini mbona unashindwa mapema kabisa? Rudia kumsoma vizuri, kile alichoandika kuhusu wanaume na kile alichoandika kuhusu wanawake. Halafu linganisha na ukweli wa kisayansi. Kizuri zaidi kasema chanzo chake ni "Masomo mbalimbali yanayohusu mambo ya kiafya."

  Sasa kuna tabu gani kuweka reference? Msaidie basi hata wewe kuweka reference ili tujadili kwa uzuri zaidi.
   
 19. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kuwatafutia hiyo link, ingia usome mwenyewe. Point mojawapo wameandika "Tight Clothing: Men's briefs and tight pants have been thought to have the same effect on sperm as heat exposure and hot baths, however there is no scientific evidence for this hypothesis" ....

  http://www.epigee.org/health/infertility.html
   
 20. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  kwani uume unakua maisha yako yote? au ndo kuimairisha utendaji pia.
   
Loading...