Mkuu labda viroba vilikudhuruPicha umeipga kwa mbali mkuu siwezi hata kuona labda waje wenye microscopic eyes watatusaidia
Kagera wanayaita "Mavilu" ukiyala meno,ulimi hugeuka mweusi tii......ila ni matamu sana.
Naomba kujuzwa jina rasmi kwa kiswahili fasaha haya matunda yaitwaje..!?
Na afadhali walivyovizuia kudadeki vingeacha watu wengi vipofu zaidi.Mkuu labda viroba vilikudhuru
ebwanaeeee! Nimekumbuka mbali sana, enzi zile tunachunga yalikuwa ya kujichumia tu mtini. kwetu tunayaita 'mhulu'. kiswahili chake mwalimu hakutufundisha
hivyo hivyo mkuuFuru au fuu au amarula kwa lugha za wenzetu