Haya Matatizo ya Mgao wa Umeme yataisha kweli hapa kwetu Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya Matatizo ya Mgao wa Umeme yataisha kweli hapa kwetu Tanzania?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Nchi imeoza kweli haina viongozi Shupavu...........................
   
 2. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Matatizo haya hayataisha mpaka tupate chanzo na kukitafutia dawa

  maana sasa hawasemi mgao ila ni tatizo la kiufundi, baada ya kutatua tutarudisha umeme, ila na masaa 12 na siku zinazofanana, kama ni mara mbili kwa wiki tatizo hilo hujirudia muda na siku zilezile
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sasa buku mbili mashine inagoma kutoa umeme mpaka kuanzia mkono wa nyani yaani 5000..
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kutu ikila bati la bamba la Pickup yako itakuweka njia panda.

  Ukijaribu kuiondoa kutu ii ubakie na bati lisilo na kutu matokeo yake ni kutengeneza shimo kwenye bamba.

  Ukiiacha itabaki imeshika na kuendelea kuenea mpaka siku ikifika bodi nzima inavunjika

  Kutu ni mchanganyiko wa Chuma + Oxygen+ na Unyevu(maji). kutu ni matokeo ya chuma kuunguzwa taratibu kikemikali.
  Huwezi ukaindoa kutu kama ubanduavyo rangi.

  Ili kukomesha tatizo la kutu katika Bodi yako unaibandua kutu yote bila kujali mashimo itakayo acha kisha unasafisha kwa msasa hadi bati safi libakie unachomelea sehemu zenye mashimo na kuziba weka putt na kupaka rangi vema kuzuia maji na hewa visilifikie bati la pickup.

  Tatizo letu la Umeme ni sawa na kutu kwenye bamba la pickup yetu.

  Tunaogopa kubandua kutu yaani kiini cha tatizo ambacho ni utawala bovu usio na maono.
  Tukiisafisha kutu maana yake vibarua vya waheshimiwa wengi vitaota nyasi za nguvu kama si mibuyu kabisa.
   
 7. c

  collezione JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Itafika mwaka 2014 watarudisha umeme. Afu tutawachagua tena 2015. Hahaha, let's wait
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160

  Mkuu nakwambia mgao umeshamiri upya.
   
 9. kadakokigondile

  kadakokigondile JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2013
  Joined: May 17, 2013
  Messages: 1,714
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huu umeme tulionao hautoshi halafu tunategemea kuuza umeme wetu nje ya nchi labda tutauza umwemwe
   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ni chadema ndio chanzo.
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Eti upungufu wa gas,huku tunaambiwa gas ndio suluhisho la umeme
   
 12. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2013
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Katika vitu ambavyo vitanifanya niichukie CCM maisha yangu yote ni hii migao yao ya umeme. Kwa miaka 52 nchi imekosa viongozi wabunifu... To hell MaCCM
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2013
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wajanja wanataka kupiga dili kwenye yale mafuta mazito ya kuendesha mitambo kule IPTL so wanakuja na mgao feki ili tukiishapanik wanajifanya wanawasha hiyo mitambo iliyomtajirisha Ngeleja.
   
 14. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #14
  Nov 19, 2013
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 280
  Sioni kitu.....
   
 15. mwanamajimbi

  mwanamajimbi JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2013
  Joined: Jun 20, 2013
  Messages: 599
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  umeme unaozalishwa tz hautoshi kutumika kwa watz wote kwa pamoja.. trust me!
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2013
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  pichaaaaaaaaaaaaaaaaa>>>
   
Loading...