Haya Mashimo Barabarani Katikati ya Dar Wahusika mko wapi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Hivi kweli shimo hili lililosababishwa kwa kuibiwa au kukosa mfuniko yanaachwa yakiwa wazi hivi hatari yake na madhara havionekani?

Zipo wapi mamlaka zinazohusika hususan Tanroads/Tarula au Halmashauri Ya Jiji?hata nyie askari wa usalama barabarani hamuwezi hata kuripoti sehemu husika?

Haya matundu nadhani yameshaleta madhara na uharibifu na pengine hata vifo kwa watumiaji wa barabara..maana shimo lina urefu wa kimo cha mtu mzima akiingia ni mpaka kifuani...sasa hii ni hatari kwa watembeao kwa miguu bodaboda hata uharibifu wa magari.

Mamlaka zichukue hatua kwa kufunika mashimo haya mfano ni hilo moja lililopo katikati ya Jiji jirani na Clock tower na kaburi moja.

20211025_122152.jpg

Hivi kweli shimo hili lililosababishwa kwa kuibiwa au kukosa mfuniko yanaachwa yakiwa wazi hivi hatari yake na madhara havionekani?

Zipo wapi mamlaka zinazohusika hususan Tanroads/Tarula au Halmashauri Ya Jiji?hata nyie askari wa usalama barabarani hamuwezi hata kuripoti sehemu husika?

Haya matundu nadhani yameshaleta madhara na uharibifu na pengine hata vifo kwa watumiaji wa barabara..maana shimo lina urefu wa kimo cha mtu mzima akiingia ni mpaka kifuani...sasa hii ni hatari kwa watembeao kwa miguu bodaboda hata uharibifu wa magari
Mamlaka zichukue hatua kwa kufunika mashimo haya mfano ni hilo moja lililopo katikati ya Jiji jirani na Clock tower na kaburi moja.

Mbona hapo ni barabarani, je waibaji huwa hawaonekani? Wawape wananchi uwezo wa kujichukulia sheria mkononi kwa wote watakao kamatwa na hayo madude. Wakichomwa moto wawili au kutobolewa macho mmoja. Wengine wataogopa kuyaiba au kuyanunua.
 
Back
Top Bottom