Haya marekebisho yamechanganya PM zangu na za wafuatao...

Cantalisia
Kuna moja ya Rejao imekuja kwangu , Dah! yaani humo rejao yuko bize anamtongoza zubeda mchuzi, katika paragraf ya pili anamwambia zubeda mchuzi kama mapenzi ni alfabet basi yeye ni capital A. Khaaaa!
akibisha nitakufowadia
dah.. klorokwini yaelekea wewe ni mzee wa mistari sana!!
Hizo verse zako nimezikubali!!
 
Last edited by a moderator:
Erotica, miss u jamani!
Zangu zimekuwa programmed for those sexy eyes of urz only, kwa wengine maneno hayaonekani!

Kongosho aisee PM zako zilikuwa paposivli dairektedi kwangu; sasa rafiki yangu kuzirudisha mpaka nimalize madesa yote ya kutongoza ndipo nizirudishe! Miss u sana!

Usingeonekana leo ningepata kichaaa! Unanichanganya wewe Kaunga wangu. Mwaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Usingeonekana leo ningepata kichaaa! Unanichanganya wewe Kaunga wangu. Mwaaaaah!

Jamani, nilikuwa nawe ndotoni ingawa ulikuwa kwa Ndahani! I hope next time tutameet halfway.lol

Mwaya nimebanwa kiasi, l will be full JF next week!
 
Last edited by a moderator:
naona huyu Kongosho na klorokwini wanatafuta kila njia ya kuvunja ndoa yetu!!
Kwa staili hii hawatupati ng'ooooo!!
Nishalijua hilo darling wangu,
Watachoka wao ndoa yetu wala hawaiwezi na hakuna wa kuivunja abadan!!
Ilove u sana mme wangu:A S-heart-2:

Karibu chai switie!

images
 
Nishalijua hilo darling wangu,
Watachoka wao ndoa yetu wala hawaiwezi na hakuna wa kuivunja abadan!!
Ilove u sana mme wangu:A S-heart-2:

Karibu chai switie!

images

Thanx love kwa lovely Bf...
Kwa unayonifanyia, hamna wa uchukua nafasi yako
:A S kiss::A S kiss::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Thanx love kwa lovely Bf...
Kwa unayonifanyia, hamna wa uchukua nafasi yako
:A S kiss::A S kiss::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Ur well come darling,
images
mme wangu!!
 
Jamani, nilikuwa nawe ndotoni ingawa ulikuwa kwa Ndahani! I hope next time tutameet halfway.lol

Mwaya nimebanwa kiasi, l will be full JF next week!

Haaahaaa! Kaunga, unamchokoza Eros. Amekubali yaishe sasa wewe unataka kuamsha mashetani yaliyo lala,lol!
 
He he he he Kaunga, mie zangu hata mods hawawezi kuzisoma maana ziko naked hadi hazina ngozi na ukizubaa unaona mifupa.

Huwa zinawapalia kama pilipili ya kukaanga.

Missed you though.

Kongosho aisee PM zako zilikuwa paposivli dairektedi kwangu; sasa rafiki yangu kuzirudisha mpaka nimalize madesa yote ya kutongoza ndipo nizirudishe! Miss u sana!
 
Last edited by a moderator:
hii ndoa haihitaji mtu wa tatu kuivunja maana ishajiishia yenyewe.

Jama nimeokota PM tatu za Rejao kule kwa Mnyamanyi tena alikuwa kashindwa kulipia gesti ya buku jero.

Si wakataka kumjazia watu, nikaenda kumuokoa.

naona huyu Kongosho na klorokwini wanatafuta kila njia ya kuvunja ndoa yetu!!
Kwa staili hii hawatupati ng'ooooo!!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho yakwangu haijakosea njia...ilikua inakuja hapohapo!...ipe chumba cha ndani kabisa...uvunguni mwa moyo wako.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho umenionea zangu? Sioni hata moja...nifowardie ile ilikuwa na namba ya simu asiee:A S embarassed:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom