Haya marekebisho yamechanganya PM zangu na za wafuatao...

Hii kitu inashangaza sana! Post zangu hata mie hazionekani niki Log in ktk JF kwa kutumia computer yangu. Nikitumia Simu yangu ya kiganjani, ninaziona! Nashindwa kuelewa!
 
ha ha ha ha, EMT, nikiuza nakuwa bilionea.

Kuna wengine hapa ni akina andanenga malenga.
Sijui kwa nini hawatungi mashairi.

Hapana sijashawishika kuuza bado.

Nasikia Kongosho anatafutwa na gazeti moja la udaku awauzie hizo PMs. Tumekwisha!
 
Last edited by a moderator:
Usijali EMT, Zile pm hata gazeti la udaku hawana vibali vya kuchapa content zile.

I know, they are too explicit hata waki-edit kabla ya kupublish habari nzima itakuwa na ******* na XXXXXXX kibao

ha ha ha ha, EMT, nikiuza nakuwa bilionea.

Kuna wengine hapa ni akina andanenga malenga.
Sijui kwa nini hawatungi mashairi.

Hapana sijashawishika kuuza bado.

Unatafuta mwenye dau kubwa kwa sababu ni too explicit eh?
 
I know, they are too explicit hata waki-edit kabla ya kupublish habari nzima itakuwa na ******* na XXXXXXX kibao


Hapo naona hakuna la kuhofia au sio EMT? teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
halafu EMT kuna kibabu kimoja kimesema 'Wanikondesha ****'

hapo star ni jina la huyo binti.

Sasa kibabu hicho ni nani?
Stay tuned. . .

Heri uzirudishe usike ukapasuka macho kwa kuzisoma.



Atajiji Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Cantalisia
Kuna moja ya Rejao imekuja kwangu , Dah! yaani humo rejao yuko bize anamtongoza zubeda mchuzi, katika paragraf ya pili anamwambia zubeda mchuzi kama mapenzi ni alfabet basi yeye ni capital A. Khaaaa!
akibisha nitakufowadia
Haahahahah hahahha hahhhaha klorokwini umenivunja mbavu lol!
Yani hilo ni gumu na siamini kbs km Rejao wangu amemtokea zubeda mchuzi,bora ungesema smile lol,
Hebu nifoadie nione!!!
 
Last edited by a moderator:
Erotica, miss u jamani!
Zangu zimekuwa programmed for those sexy eyes of urz only, kwa wengine maneno hayaonekani!

Kongosho aisee PM zako zilikuwa paposivli dairektedi kwangu; sasa rafiki yangu kuzirudisha mpaka nimalize madesa yote ya kutongoza ndipo nizirudishe! Miss u sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom