Haya marekebisho yamechanganya PM zangu na za wafuatao...

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
jamani, nashangaa PM zangu zimechanganyika na za baadhi ya watu nashindwa kuwataja hapa kwa sababu za kimaslahi.

Sasa basi nimeamua kuwafowadia PM zenu kabla ya kuzidiliti, ila kusoma PM za watu ni 'hell on earth'

Pamoja sana katika PM :)
 
ya kwangu ikijua tu imefika kwa kongosho ingegeuza fasta
 
Back
Top Bottom