Haya mapaka usiku wa leo yamenidhalilisha sana naombeni ushauri wa sumu ya kuyauwa

Ndani ya Moyo wangu una nafasi DUNIA nzima...

Mziki wako mnene kila Mtu hilo anasema...

JAY MOE na T.I.D Girlfriend ndio SOUNDTRACK nawe ndio BARAFU wa Moyo...
 
Hiyo Ceilingboard ilikua ya chuma adi mtu azimie mumpeleke hospital?
Kuna wakat ata Shetan anaamua kukuonesha kua Uongo huu na Uzinzi huu umemzidi ata yeye, ndo maana anaamua Kukuaibisha
 
Nje ya mada, eti paka ana uwezo kung'amua sumu kama umemtegea kwenye chakula?.kuna paka jizi linamaliza vifaranga vyangu vya kuku..
 
Back
Top Bottom