Huyu mama asipokuwa ngangari watamtingisha sana CCM wenzieTuna matatizo makubwa na Serikali iliyojaa waongo tuombe Mama abadili mwelekeo vinginevyo Nchi itaendelea kuwa na matatizo makubwa sana.
Huyu mama asipokuwa ngangari watamtingisha sana ccm wenzie
Ngoja tusubirie mkuu.Naam Mkuu dalili za kwanza nzuri au mbaya tutaziona kwenye Baraza lake la Mawaziri. Ngoja tusubiri Mkuu.
Ndio hapo sasa. Une nguswiga naloliWanakumbuka neno kwa neno. Yani wamekariri sentensi zote, au walikuwa wanamrekodi?
Ddduhh.View attachment 1733444
Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa tarehe 06 February 2017 na Rais na ...
Hayo ni maneno ya kutungwa tuuHaya meneno yanatrend sana mtandaoni kwamba ndio maneno ya mwisho ambayo magufuli alimwambia Pengo hospitalini dakika zake za mwisho kabla hajaaga dunia,Maneno yenyewe ni haya.
"Mheshimiwa Pengo na baba Paroko, Mungu ni mkubwa kuliko chochote,tumtangulize Mungu kwa kila jambo.Nchi yetu inahitaji viongozi wacha Mungu,watakao kubali kufa na kujitoa sadaka kwa faida ya wengi.
"Nilitamani kuiona Tanzania ya ndoto yetu,Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sita ishuhudia.
Natoa wito wangu wa mwisho kwa watanzania kuungana kupinga rushwa na ufisadi yaani, endelezeni mapambano msirudi nyuma!!
Mheshimiwa Cardinal Pengo na baba paroko niombeeni kitubio nilale kwa matumaini,naipenda nchi yangu,niliahidi kuilinda mpaka kufa"
Haya maneno ni ya kweli? Kuna mahali Pengo kanukuliwa akiyasema?..
Umechemka aisee, Kwa akili yako unategemea Joseph Msukuma apewe wizara gani?Msukuma ana tofauti gani na yule RC aliesema amempigia simu na kumwambia azidi kuchapa kazi? Anataka uwaziri huyo.
Hawataki kukubali kwamba JPM aliungama dhambi zake na yupo pema peponi.....Wivu juu ya nini? Tuwe na uthibitisho, kama kuna ulazima wowote, maana siuoni!
Hiyo hiyo akili ndo inamtuma hivo mbali na kutokukidhi vigezo.Umechemka aisee, Kwa akili yako unategemea Joseph Msukuma apewe wizara gani?
Bahahahaha! Elimu yake unaijua kweli
Hawezi kusamehewa na haitatokea. Na nikienda mbinguni nimkute na kula kona faster na kwenda motoni kuzimu boraSiku akiwa mbinguni na nyie motoni ndio mtakapojua kua Mungu ni Mungu wa rehema, kama alipata nafasi ya kutubu mwishoni Mungu amemsamehe, na Mungu anasamehe dhambi zooteeee, kikubwa ni unamalizaje safari yako
Labda michezo na burudani yaan iyo ndio first & last optionUmechemka aisee, Kwa akili yako unategemea Joseph Msukuma apewe wizara gani?
Bahahahaha! Elimu yake unaijua kweli
Labda michezo na burudani yaan iyo ndio first & last optionUmechemka aisee, Kwa akili yako unategemea Joseph Msukuma apewe wizara gani?
Bahahahaha! Elimu yake unaijua kweli