Haya Mamlaka ya Bunge kuita watu kuwahoji na kutoa maonyo inayatoa wapi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,144
12,604
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge.

Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.

Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.

Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?
 
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.

Soma kanunu za bunge utaona hayo mamlaka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.

Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.

Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?
Ndugai ana inferiority complex, nimsikia akijitetea, sisi sio mazuzu, wakati Mzee Jenerali Ulimwengu hamna sehemu Ali mention neno zuzu zaidi alimnukuu scavenger Zee la majalalani
 
Microphone ni zuzu sana hana peer ambayo yeye anajifunza neno inaonesha anaishi maisha ya kuzungukwa na kivuri chake cha umwinyi na kusikilizwa yeye huku wakimchora tu. Huyu ni zaidi ya Mende ni limeoza katika kufikiri, kwenye seminar linatoa mifano ya mazuri ya trips zake za nchi za watu ambayo yeye haishi nayo na hajaibeba moyoni for better self transformation.
 
Wameshindwa kujadiliana kwa hoja, Sasa wanaanza kupambana na maneno ya mitaani. Yaan wanashindwa kazi zao za msingi za kuisimamia serikali na kutunga Sheria wanaanza kunyamazisha watu mtaani.

Alikuwa wapi Magufuli akikopa trilioni 50??
Ndo wanahoji sasahv akiwa amefariki!

Nchi inamatatizo makubwa yanayotakiwa kujadiliwa na kuamuliwa kwa kina, Spika anatuletea ngonjera za mitandao I.

MY POOR TANZANIA
 
Hivi mihimili inaingilianaje kisheria?.
Tanzania theoretically kuna mihimili mitatu ambayo inatakiwa iwe inajitegemea, but in practice kama tulivyoambiwa na bwana yule kuna mhimili mmoja mizizi yake imeenda chini sanaa
 
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.

Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.

Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?

Kwa vile wao ndiyo watunga sheria usishangae wakatunga sheria ya kujipa madaraka hayo 😁😁
 
Back
Top Bottom