Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,204
- 12,698
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge.
Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.
Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.
Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?