Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani, kitheologia, kihistoria na kibinadamu

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,501
Msimamo wa Marekani ni mmoja, na tayari wamesha tangaza kuhamisha ubalozi wao ulipo katika mji Mkuu wa Israel, Tel Aviv hadi Jerusalem, ambapo pia makao makuu ya Israel yatahama kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.

Ikumbukwe amani ya Mashariki ya kati ipo rehani miaka mingi kutokana na ugomvi kati ya Israel na Palestina.

Mgogoro huo umesha sababisha hadi Mataifa makubwa dunia kuwa na blocks, wengine wakiwa upande wa Israel na wengine upande wa Palestina.

Hatua hii ya Marekani inasababisha Baraza la usalama la Umoja wa maifa " United nation security Council" kuitisha kikao Cha dharura kujadili na kutathimini tamko hilo la Marekani.

Sasa katika hatua hii, nasi binadamu tulio na utashi wa fikra, tumejikuta tuna nasa katika mgogoro huo wa Mashariki ya kati.

Wengi wakiunga mkono Israel, kwa mema au mabaya kwa sababu ya " imani" kadhalika kwa upande wa Palestina.

Pia Kuna wengine wapo upande wa Israel ila haawaungi mkono wanayo fanyiwa Palestina. (Wengi hawa ni wanaharakati)

Sasa:-
1. Tunaombeni mtusaidie sisi watu wa imani!

Maandiko yanasema atabarikiwa ataye Ibariki Israel na atalaaniwa yeye atakaye ilaani. Hilo ndilo agano la Mungu.

Pia kitabu cha Zekari 12:9! Kinasema, "Hata itakuwa hivyo nitafuta, kuangamiza Mataifa yote watakao kuja kupiga na Yerusalemu"

Kwa maneno hayo, tuna sababu ya kuungana na Israel, ili tusipingane na ahadi ya Mungu,? tuna sababu ya kuunga mkono Israel ili tukwepe laana?Tuna sababu ya kuunga Israeli ili kuwa salama?(Kama mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?)

Pia watu wa haki za binadamu na wanaharakati wasaidiwe pia,wawe tayari kuona wengine wanaangamia kwa taifa la Israel??

Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani,kitheologia kihistoria na kibinadamu

ANGALIZO::USIWE MSEMAJI WA MWINGINE.
 
Mkuu, Mimi ni Mkristo pure, Ila the so called "Bible" siyo kitabu ambacho wote duniani wanakiamini, wengine wanaona ni kama tu hadithi za "kibanga ampiga mkoloni' So huwezi kunukuu maandiko matakatifu ya kwenye bible kuishawishi dunia.

Pia, wewe unaamini Israeli ya Sasa ndiyo ile yenyewe? Iliyotokana na Yakobo(Israeli?
 
Israel ya kwenye kitabu(Biblia) haipo tena mkuu Mungu aliihamisha kama alivyo hamisha Bustani ya Edeni.Hawa unao waona wakijiita Waisrael ni wazungu pure,hawana mana yoyote ni mbwa koko tu wa kizungu.
 
mkuu ndo maana nimeleta hapa hii mada tushirikishane inakaa vp,kwa upande wang naamini ni ile ya zamani..Au ipo vp hii mkuu
 
Israel ya kwenye kitabu(Biblia) haipo tena mkuu Mungu aliihamisha kama alivyo hamisha Bustani ya Edeni.Hawa unao waona wakijiita Waisrael ni wazungu pure,hawana mana yoyote ni mbwa koko tu wa kizungu.
sasa ndo maana hapa pana sitofahamu mkuu...kwan ile ya zaman ilienda wap??
 
Mkuu, Mimi ni Mkristo pure, Ila the so called "Bible" siyo kitabu ambacho wote duniani wanakiamini, wengine wanaona ni kama tu hadithi za "kibanga ampiga mkoloni' So huwezi kunukuu maandiko matakatifu ya kwenye bible kuishawishi dunia.

Pia, wewe unaamini Israeli ya Sasa ndiyo ile yenyewe? Iliyotokana na Yakobo(Israeli?
Biblia ni maandiko matakatifu ya Mungu, na huo utakatifu wake hautokani na utashi wa binadamu, hivyo kama maandiko ni ya Mungu yeye mwenyewe anajua nini afanye kulinda ahadi zake ata wewe possibly ukakakuta Mungu anakutumia bila ata wewe kujua.
 
Wakristo ndo wanajipendekeza kwa Mayahudi.
 
Biblia ni maandiko matakatifu ya Mungu, na huo utakatifu wake hautokani na utashi wa binadamu, hivyo kama maandiko ni ya Mungu yeye mwenyewe anajua nini afanye kulinda ahadi zake ata wewe possibly ukakakuta Mungu anakutumia bila ata wewe kujua.
biblia sio maandiko matakatifu ya mungu
ni hadithi za kukopi kutoka maandiko ya misri(kemet) na kuchanganya na uongo wao
 
Biblia ni maandiko matakatifu ya Mungu, na huo utakatifu wake hautokani na utashi wa binadamu, hivyo kama maandiko ni ya Mungu yeye mwenyewe anajua nini afanye kulinda ahadi zake ata wewe possibly ukakakuta Mungu anakutumia bila ata wewe kujua.
Na Muislam naye atakwambia Hivyo hivyo kwa upande wa maandiko yake!
 
sasa ndo maana hapa pana sitofahamu mkuu...kwan ile ya zaman ilienda wap??
Aaah nikweli hapo kuna mkanganyo kidogo,but ukifuatilia vizuri ile Israel ya zamani ilimkwanza Mungu sana baada ya kuwa watu wa kuabudu sanamu na kutenda maovu mengi.Mungu alipitiasha kwao misamaha mingi na wanamwahidi kukorejea tena hayo makosa lakini baada ya mda wanafanya tena hayo maovu.

Ndo hapo alipowatelekeza mazima,hivyo wakapigwa bita mpaka wakatawanyika sehemu mbalimbali duniani.Hawa tunao waona leo wakijiita Waisrael ni wazungu ambao baba zao na mama zao ni mixer yahudi na mzungu.

Wazungu walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha hawa mazalia wanarejeshwa kwao yaaani Israel ya zamani.
 
Duuuuhhh ,,ili suala watu wanalichukulia kirahisi sana ,, Lkn For sure nitukio kubwa sana kutokea na lenye kusindikizwa nambo mengi !!!.

Hofu yangu nijuuu ya Uhai wa Trump !!. Marais wengi Wa US walojaribu kuliingiza ili suala walipotezwa vibaya.

Ref....JF Kennedy.. Lincoln...
 
source yako ni ipi kwamba mwanzo walikuwa pale?
 
Duuuuhhh ,,ili suala watu wanalichukulia kirahisi sana ,, Lkn For sure nitukio kubwa sana kutokea na lenye kusindikizwa nambo mengi !!!.

Hofu yangu nijuuu ya Uhai wa Trump !!. Marais wengi Wa US walojaribu kuliingiza ili suala walipotezwa vibaya.

Ref....JF Kennedy.. Lincoln...
soma vizuri ujjue vifo vya hao maraisi,usichanganye na mambo ya israel.na kwa taharifa yako usa na israel ni kitu kimoja
 
Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua ni kwamba hakuna Mungu.

Ukijua hilo kwanza, ndipo utaweza kuangaliamambomengine yote kwa mwanga sawa,kwamba hizi zote ni siasa za binadamu tu.

Bila kujua hilo, habari za Mungu zitapotosha kila kitu.
 
Biblia ni maandiko matakatifu ya Mungu, na huo utakatifu wake hautokani na utashi wa binadamu, hivyo kama maandiko ni ya Mungu yeye mwenyewe anajua nini afanye kulinda ahadi zake ata wewe possibly ukakakuta Mungu anakutumia bila ata wewe kujua.
kwel mkuu..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom