Haya mambo yanachekesha sana hata kama yanatuuma

"Ni kweli nilitia sahihi kama ripoti inavyodai,ila kwa maagizo ya boss wangu.Aliyeniagiza kutia sahihi ndiye huyohuyo aliyemuagiza yeye kuuza nyumba za umma.
Kwa hiyo kesi zetu zinafanana.Wapo wakunikamata lakini wakunifungu hakuna." ...
Change huyo kaamua kutoa ya moyoni
 
Ofcoz ukiifuatila sana hii chain mbona utawagusa wengi ..ila ndio hvyo wakati Fulani busara ya kibinadamu inabidi itumike..
 
Wapo wa kumkamata lakini wa kumfunga hakuna.Hivi hawa jamaa wanajiamini nini lakini???
 
Na hivi hawa ivi na "mkulu"!!!
Hata mkulu kipindi cha kampeni zake alivyofika Bariadi hakumuombea kura mzee wa vijisenti wala kumshika mkono kumtambulisha kama ndie mgombea ubunge, hahahahaaha.
Hala hala isije ikawa kupigana kwa tembo tukaumia sie nyasi
 
Ni kweli kabisa. Chenge sio mjinga kusema hivo,,yeye chenge nani hadi asaini mikataba mizito kama ile bila order ya juu kabisa
 
Hata mimi natafuta mwanamke wa kuoa....sharti awe na undugu/uchembe chembe na chenge ili tuyajenge maisha kwa kujiamini.
 
Hebu mtoa mada kamilisha nukuu hiyo ili ilete ladha ile ile... Sioni "sijui nini sijui nini ......... ....... A security"
 
Back
Top Bottom