Haya mambo ni lazima yatokee kwenye ulimwengu wa kiroho

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Asante sana kwa Jumatano tulivu, ndugu Watanzania haya mambo yanayotokea ni lazima yatokee hili muweze kupata majibu ya maswali yenu magumu ambayo mnajiuliza kila siku
Haya yafuatayo ni baadhi ya maswali magumu yaliyo gonga vichwa vyetu na hatimaye kwa ulimwengu wa roho yametokea na tumepata majibu.

1:Je CCM inawalipa wasanii ili waipigie kampeni au ni mapenzi yao tu

JIBU
Baada ya Wema Sepetu kutajwa kwenye list ya Makonda tukapata jibu ya kuwa ni kweli wanalipwa ili wafanye kampeni

2:Je Clouds media inaipa nafasi ya upendeleo CCM
JIBU
Tukapata jibu baada ya RC Makonda kuwatembelea Clouds Ruge akafunguka mambo mengi kipindi cha clouds 360 kimeanza kusoma habari zote hata zisizo furahisha CCM
Kipindi cha jahazi Kibonde ameanza kuikosoa serikali mengi yatatokea ili tupate majibu asante.
 
Back
Top Bottom