ramadhani kimweri
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 165
- 169
Hichi ni kifo cha kujitakia,, yaani,, huyu kapanda juu ya nguzo ya umeme kisha amesema hashuki hadi mtoto wa mjumbe wa nyumba kumi hapa kitaani amkubali kuolewa naye.....
"usipokubali mimi najirusha"
alisikika akisema kwa nguvu
Tenesco wakazima umeme, kikosi cha uokozi cha zima moto wakishirikiana na Polis walianza kazi ya kumbeleza ashuke, iliposhindikana wakaamua kumfuata huku wakiendelea kumsihi kuwa wanawake wako wengi mbona.
Kilichoendelea tazama video.