Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 Feb 19, 2016 #2 kwa jinsi ambavyo hutumbuliwa ni bora kuyaacha.
UncleBen JF-Expert Member Oct 27, 2014 9,616 12,074 Feb 19, 2016 #3 Kutumbua hili jipu si ndio furaha yao au ??
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 19, 2016 Thread starter #4 Red Giant said: kwa jinsi ambavyo hutumbuliwa ni bora kuyaacha. Click to expand... Kwa hiyo, tatizo ni njia husika ya utumbuaji si ndio kiongozi...?.
Red Giant said: kwa jinsi ambavyo hutumbuliwa ni bora kuyaacha. Click to expand... Kwa hiyo, tatizo ni njia husika ya utumbuaji si ndio kiongozi...?.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 19, 2016 Thread starter #5 UncleBen said: Kutumbua hili jipu si ndio furaha yao au ?? Click to expand... Mi nnavyojua majipu mengi yaliyotumbuliwa yana upweke muda huu, ila kwa haya nadhani kutumbuliwa ndio furaha yao mkuu umeona mbali aseee. Teh teh teh.
UncleBen said: Kutumbua hili jipu si ndio furaha yao au ?? Click to expand... Mi nnavyojua majipu mengi yaliyotumbuliwa yana upweke muda huu, ila kwa haya nadhani kutumbuliwa ndio furaha yao mkuu umeona mbali aseee. Teh teh teh.
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Feb 19, 2016 #6 Red Giant said: kwa jinsi ambavyo hutumbuliwa ni bora kuyaacha. Click to expand... Yanatumbuliwaje?
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 Feb 19, 2016 #7 Totos Boss said: Yanatumbuliwaje? Click to expand... you don't want to know, believe me.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 19, 2016 Thread starter #9 merengo90 said: Duuh, hiii mijitu Click to expand... Hahahaa, imefanyaje kiongozi.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 19, 2016 Thread starter #10 Totos Boss said: Yanatumbuliwaje? Click to expand... Hili swali mbona kama limekaa kiuchokozi uchokozi hivi mkuu, teh teh.
Totos Boss said: Yanatumbuliwaje? Click to expand... Hili swali mbona kama limekaa kiuchokozi uchokozi hivi mkuu, teh teh.
20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,147 7,128 Feb 19, 2016 #11 KIOO said: Hahahaa, imefanyaje kiongozi. Click to expand... Haha wew huoni kwan…?
Nyenyere JF-Expert Member Sep 9, 2010 14,780 10,710 Feb 19, 2016 #12 Pacquiao kavunjiwa mkataba, mie sitaki ku comment
DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Feb 19, 2016 #13 Mchalii wa Arusha hao wanastahili kutumbuliwa
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 19, 2016 Thread starter #14 merengo90 said: Haha wew huoni kwan…? Click to expand... Kiongozi unajua mtu unaweza kutazama sehem lakini akili ikawa haipo ulipotazama mkuu. Si mbaya kama utanipa walau kiduchu kuhusu hii mijitu aseee, heh heh.
merengo90 said: Haha wew huoni kwan…? Click to expand... Kiongozi unajua mtu unaweza kutazama sehem lakini akili ikawa haipo ulipotazama mkuu. Si mbaya kama utanipa walau kiduchu kuhusu hii mijitu aseee, heh heh.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 19, 2016 Thread starter #15 Nyenyere said: Pacquiao kavunjiwa mkataba, mie sitaki ku comment Click to expand... Lakini afadhali ume-comment mkuu tunathamini mawazo yako. Na tunathamini mchango wako pia kiongozi.
Nyenyere said: Pacquiao kavunjiwa mkataba, mie sitaki ku comment Click to expand... Lakini afadhali ume-comment mkuu tunathamini mawazo yako. Na tunathamini mchango wako pia kiongozi.
kirumonjeta JF-Expert Member Feb 9, 2008 3,966 1,964 Feb 19, 2016 #16 Napita tu nahisi nimepotea njia,nna mkataba mnono sitaki niukose
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 23, 2016 Thread starter #19 kirumonjeta said: Napita tu nahisi nimepotea njia,nna mkataba mnono sitaki niukose Click to expand... Mkuu, mkataba si tayari tia japo neno basi angalau, au...?.
kirumonjeta said: Napita tu nahisi nimepotea njia,nna mkataba mnono sitaki niukose Click to expand... Mkuu, mkataba si tayari tia japo neno basi angalau, au...?.
KIOO JF-Expert Member Mar 3, 2013 6,160 5,741 Feb 23, 2016 Thread starter #20 innocent drogba said: Hayo sio majipu ni KANSA Click to expand... Hahahaaa. Acha tu mkuu.