Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

Wayaache kwa gharama na kodi zetu tena? Wahurumieni watoto wetu ambao hawana vikalio madarasani jamani!
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya.

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi

Hii tathmini yako umeifanya kinafiki.
 
Sengerema naanza kulizengea lazima nitest zali



hakikisha unanitumia kwenye kampeni zaho huko maana nina ushawishi mkubwa snaa katika viji vyote huko kuanzia..bitoto (kwao ngereja) buyagu, kalangalala,ilyamchele, balatogwa, ngw'abagikolo......


ila hakikishaungombea kwa kupitia chadema
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi
John Komba -- Mwanakwaya mkongwe wa CCM - Mbunge ambaye ni Mzigo mzito kwa taifa
Profesa Maji Marefu - Mganga Mkuu wa jadi - CCM - Mbunge ambaye ni Mzigo mzito kwa Taifa
......
 
hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)
Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe
Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa
John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba
Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa
Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe
augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu
ezekiel maige--msalala--kujipendekeza
gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake
george mkuchika--newala--roho mbaya
hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa
john mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii
jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi

Solomon Sumari - Arumeru Mashariki - Hajaapishwa mpaka leo ni mgonjwa
 
John Komba -- Mwanakwaya mkongwe wa CCM - Mbunge ambaye ni Mzigo mzito kwa taifa
Profesa Maji Marefu - Mganga Mkuu wa jadi - CCM - Mbunge ambaye ni Mzigo mzito kwa Taifa
......

1.Mbunge wa Mtera Livinstone Lushinde
2. Highness Kiwia Ilemela
3. Asen Murji Mtwara mjini
 
Hapana, CCM inaweza kuamua kumpigisha tu sarakasi yetu ile ya WATEULE kupewa mabawa ya pekee kisiasa; 'KAPITA BILA KUPINGWA' democracy aliyowahi kupewa Masha kule Mwanza kwamba kapendwa mno kiasi cha kukosa mpinzani lakini mambo yalipogeuzwa tu kidogo ndipo tulipogundua kwa jamaa hata kura za diwani alikua hawezi kupata.

hapo peter serukamba unamwongezea ugojwa wa moyo,halima mdee alishamwambia asahau kurudi bungeni
 
Taratibu INAUMA, kwa mtindo wako huu na umejiunga tu juzi, mmmhhh usije ukaichezea JF mkuu kwani hii ni movement labda kawaulize wenzio wengine huko!!!!

Fanyeni kazi acheni umbeya na majungu...au mnatafta mabwana apa jf...kwanza apo nna wasiwasi mna njaa..
 
Huyu ben gerous ni nani (gamba), acha ukenge ww, lete hoja yako huku tujadili..kwn hao wa KCCM wote c washajua nxt tme wasahau kurudi bungeni...n ww nenga bwagamoyo kama unataka majimbo ya CDM...
 
Back
Top Bottom