haya majibu yanavutia sana.... nimeipenda hii..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Mwandishi wa habari wa Uingereza anamuuliza Mugabe baada ya kushinda uchaguzi: Mr President don't you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe akajibu: Have you ever asked Queen Elizabeth this question or is it just for African leaders?:smile-big:
1173755_460196160744839_259522173_a.jpg
 
Robert wa Gabriel wa Mugabe!
Mume wa Grace Mugabe!
Kichwa hicho!
Mugabe is more than just a politician , he leads a cause or as his militant supporters would say, he has become the cause itself.
Kwake African's dignity ndiyo No 1
Huyu mzee ndy roll modo wangu among African leaders.
 
mmmmmh na majibu yako mengi yanafanana na ya kwakee
 
mmmmmh na majibu yako mengi yanafanana na ya kwakee

Hata hivyo next term akirest kwa kutoingia election, atakua amemaliza with fully respect such as Mwalimu, Madiba .
Afu stevoh unakiona kinachoendele Egypt currently? Kama bado watch CNN now! Majanga yako live.
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi wa habari wa Uingereza anamuuliza Mugabe baada ya kushinda uchaguzi: Mr President don't you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe akajibu: Have you ever asked Queen Elizabeth this question or is it just for African leaders?:smile-big:
1173755_460196160744839_259522173_a.jpg

amuulize nani?? eeeenheheh malikia eliza sio?!! itabidi atafute pa kwenda sio uinglishini tena
 
amuulize nani? eeenheheh !! malikia eliza sio?? itabidi atafute pa kwenda na sio uinglishini tena
 
Hata hivyo next term akirest kwa kutoingia election, atakua amemaliza with fully respect such as Mwalimu, Madiba .
Afu stevoh unakiona kinachoendele Egypt currently? Kama bado watch CNN now! Majanga yako live.

sijacheki hapa ofisini wametelekeza king'amuzi hawajakilipia asee
 
Last edited by a moderator:
:smile-big:wat.s up people it me hollo malosha people say ur bad but have they seen themselves sometimes when u get hit by a bully u strat saying :help: :help:plse :help:me u should u fight back okay say yeah yeaaaaaaaaaaah!and a big :) so gd:wave:

you lost me around the bush
 
Back
Top Bottom