Haya majibu wanayojaza watoto wa form iv tusipokua makini wataanza na kujisaidia ktk vyumba vya miti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya majibu wanayojaza watoto wa form iv tusipokua makini wataanza na kujisaidia ktk vyumba vya miti

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mirindimo, Feb 8, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Nimeshangazwa sana na taarifa ya matokeo ya kidato cha nne,uchungu ulizidi ikabidi nicheke ili niupunguze kidogo....nilijua ni mwonekano wa kimavazi tu wa nje....ile kupiga mlegezo kumbe mpaka akili zimelegea........! Na nyie wazazi? Alaaa hawa watoto wa wazazi kabisa ndugu zangu...kama leo wanaandika verse za bongo favour kuna siku wataku******* ndani ya chumba cha mtihani na watajisafishia karatasi ya maswali.....hii ni dharau elimu imekua haina thamani tena , watoto hawaoni umhimu wake kabisa......Mi sijui nifanye nisaidie wanamaliza kidato ila nasikia uchunguuuuuu!:A S 465:
   
 2. m

  mfundishi Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 27, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3

  Ulitaka waandike nini kama hawakufundishwa? Wakiandamana wanapigwa mabomu pengine wameona hii ndiyo njia pekee ya kufikisha ujumbe. Baadala ya kuwalaumu inatakiwa kujiuliza kunini inazidi kuwa hivyo? Namna nyingine yoyote itakuwa ni uvivu wa kufikiri.
   
 3. Nassir93'

  Nassir93' JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tena nasikia wengi wameandika ile ya Izzo B-Naongea na Ridhwani.
   
Loading...