mafoleni
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 220
- 371
Maisha yamekua na strees nyingi mpaka tunashindwa kumudu vizuri kunako falagha. Hebu fikilia, ajira hazieleweki naweza sema hakuna, unaamua kufungua kibiashara na pesa za mkopo lakini wateja hakuna, kila ukirudi home mawazo kibao, hivi huyo mama chanja anaanzaje kiridhika?
Ndo mwisho dushe linazima katikati ya mchezo coz brain inawaza maisha masaa 24.
Mtuvumilia jamani wake zetu.
Ndo mwisho dushe linazima katikati ya mchezo coz brain inawaza maisha masaa 24.
Mtuvumilia jamani wake zetu.